Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Kabisa wanapenda wanaume wenye fujo fujo, mwanaume jasiri ambaye atamburuza, mwanaume atakaye cheat ili make up sex iwe tamu zaidi.
Lakini ukiwa mwanaume mpole sijui straight hawakutaki kabisa....utasikia wenyewe he is just too nice
Huyo mr nice atatafutwa wakati ngoma inasoma 33+




inauma aisee
