8. Kosa la nane, unaolewa na mtu asiya sahihi kwa kuwa yuko ndani ya pembe tatu. Mtu ambaye anaishi na wazazi wake ni moja ya mfano wa mtu anayeishi katika pembe tatu. Watu wengine wanaoweza wakawa wanaishi ndani ya pembe tatu ni kama wanaofanya kazi saa 24! Huyu mtu halali? Watu wengine walio katika pembe tatu ni watu wanaotumia madawa ya kulevya, mtu anayetawaliwa na "hobbie" zake, anapenda sana michezo (Mpira), kuperuzi mitandao ya kijamii na anapenda sana fedha. Hakikisha kwamba wewe na mpenzi wako , nyote hamtawaliwi na pembe tatu. Mtu ambaye anatawaliwa na pembe tatu hawezi kumtimizia mpenzi wake haja ya upendo atakapokuwa anahitaji. Kama mpenzi wako anatawaliwa na pembe tatu kwa kiasi kikubwa, wewe huwezi kuwa kipaumbele chake.
Afadhali umeliona hilo,na hapo ndo shida itakapoanza. Hakuna karaha kubwa kuliko zote kwa mwanmke anapogundua akiwa tayari ndani ya ndoa kwamba 'kumbe jamaa yake jongoo hapandi mtungi, mweeeee!".
Ni heri kujaribu aisee, ili uondokane na risk nyingi!
Sasa mwanangu kama utakuwa unaonjesha huo utukufu, mpaka umpate huyo Mr. Parfect utakuwa umewaonjesha wangapi..............Kwa mujibu wa Jarida la Physical Psychology la miaka ya hivi karibuni lililochapishwa hapa nchini, imebainika kwamba hiki kizazi cha kiume tulicho nacho kimejaaliwa maumbile kiduchu na ndio maana dawa za kuongeza hayo maumbile na kuyanenepesha zimekuwa zikitangazwa kila uchao na waganga wa tiba hiyo wamekuwa wakiongezeka kila siku..............................LOLAfadhali umeliona hilo,
Sio tu hapandi mtungi unaweza kutana na bonge la mtarimbo asa mambo gani hayo!
Bora nifanye riheso kabla ya pafomansi ebo!!!!
Mambo ya kuja kushindwa kuwajibu watu kwann nimemkimbia mme wangu ya nn!!!!
Sasa mwanangu kama utakuwa unaonjesha huo utukufu, mpaka umpate huyo Mr. Parfect utakuwa umewaonjesha wangapi..............Kwa mujibu wa Jarida la Physical Psychology la miaka ya hivi karibuni lililochapishwa hapa nchini, imebainika kwamba hiki kizazi cha kiume tulicho nacho kimejaaliwa maumbile kiduchu na ndio maana dawa za kuongeza hayo maumbile na kuyanenepesha zimekuwa zikitangazwa kila uchao na waganga wa tiba hiyo wamekuwa wakiongezeka kila siku..............................LOL
Aiyaaaa.............Ushawaambia hiyo siri! wanaume wa siku hizi anaweza kulipa mahari nusu na send off ikasetiwa, akishaonja UTUKUFU, anachapa mwendo, inabaki hasara kwako..............Mwanangu sie mianaume ndivyo tulivyo............. Nakuonya usikubali KUONJWA, itakula kwako nakwambia..............LOLSio kila mtu baba,kwan sio kila mtu ni muoaji jaman,
Muoaji anatakiwa asionje mpaka alipe mahari,usiku wa send off ndio tunafanya riheso,
Hawa wengine wao wanakuja direct wanataka utukufu na wakikutana na hiyo sheria yangu automatical wanachapa mwendo,so hii ni kwa muoaji tu baba,km ilivokua kwa mkweo Rejao lol!
Hhahah hahhah,Aiyaaaa.............Ushawaambia hiyo siri! wanaume wa siku hizi anaweza kulipa mahari nusu na send off ikasetiwa, akishaonja UTUKUFU, anachapa mwendo, inabaki hasara kwako..............Mwanangu sie mianaume ndivyo tulivyo............. Nakuonya usikubali KUONJWA, itakula kwako nakwambia..............LOL
Unajipa moyo tu.............Hhahah hahhah,
Huyo wa ivo ahata akisepa ngoma inakua droo tuuu!tena tunakua wote tumeonjana na sio kunionja!
Maana hapo wala haniaibishi mie peke yangu na wazazi wake pia na familia yao kwa ujumla,
Alafu nitakua na faida ya nusu mahari hahahaha!
Yani huyo wala hatanisumbua kbs kwanza atakua ameitangazia dunia kuwa yeye ni waina gani!!!
BTW,mbona Rejao wangu alifuata masharti yote na still akanioa!!!!
Pole baba,Unajipa moyo tu.............
Huyo REJAO mahari kampa nani........Mie sijaona hata NDURURU yake......................
NISHAPIGWA CHANGA LA MACHO AISEE......................LOL
Afadhali umeliona hilo,
Sio tu hapandi mtungi unaweza kutana na bonge la mtarimbo asa mambo gani hayo!
Bora nifanye riheso kabla ya pafomansi ebo!!!!
Mambo ya kuja kushindwa kuwajibu watu kwann nimemkimbia mme wangu ya nn!!!!
mimi nawashauri wasichana hasa wale walio vyuoni au ndio wamegraduate, umri chini ya 25, utakuta visichana viko busy vinang'angania wanaume, unakuta mwanaume ana muabuse lakini yumo tu, kisa anataka ndoa. Mi nashangaa msichana mdogo, mzuri, umeelimika, umri bado unaruhusu unakimbilia nini ndoa zisizo na mashiko. Mi nafikiri wazazi wachukue majukumu ya kuwacounsel watoto kuhusu swala zima la ndoa, na ni mambo gani ya kuangalia pale unapotafuta life partners.
Mara nyingi utakuta wamama, wanawasakama binti zao waolewe bila kutoa ushauri ambao utamsaidia binti wakati anaamua ni mwanaume gani amchague. Inakera sana. Mtu ukifikisha 30 ndio kabisa watu wanakuimbia wimbo wa kuolewa kila wakikuona. Kama una roho ndogo walah utaokota mwanaume yeyote barabarani mradi tu na wewe uolewe. Na hii nasikitika kusema inawatokea wasichana wengi sana hapa mjini.
Hivi kama inafikia wakati unahitaji kuwa na familia unatafuta tu mtu unazaa nae then kila mtu anaishi kivyake pia si poa tu.
Ni poa kabisa