Wanawake / Wanaume wajibikeni, jitumeni acheni uzembe

Yani tumachana ndo imetoka iyo kwanza huo muda wa kuniomba mpk nimuonee huruma anapewa na nani? Hamna cha kupendana na mda huo niliyenae ndiyo nimpendae.

Ha ha ha ha few have the courage to say that.. Ngoja ni washirikishe Zinduna lara et al
 
Last edited by a moderator:
Yani mi nawakwepa sana hawa watu...alafu wew itakuwa ndo zako kuwarudia X's

Ha ha ha, Hapana ni kwamba mi huwa naamini kitu nisichopenda kutendewa nisimtendee mwingine.
Pia ni mwoga magonjwa. MTU ulishaachana naye hujui kapita wapi miaka yote kisha nijirudishe?. I think I can't.
Pia kuna hili limekuwa likinitokea mara zote, kila Mwanamke anayejisogeza amepania nimpe MimBA. Anaonyesha kila dalili kuwa akikushika hatakuacha hata kama anajua una mtu. Tena amepanga kukutegea ili anase. Hii nalo limekuwa likini piss off mara zote.
 
umeongea ukweli kiasi ila umehalibu kuacha element ya maana. yaaan mapenzi bila iyo element dah ni taabu.....
Element ipi ndo maana nimesema nakaribisha michango yenu ili tuelimike sote.
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Im bussy doing INTERVIEWS, 2015 is my year natak kubadilisha mazingira kidogo. So most of the time nasoma, si unajua bibi kama mie kushindwa maswali ya interview ni aibu?:A S wink:

Okay, kila la kheri bibie
 
Back
Top Bottom