Kwanini wanawake wachepukapo wamekuwa wakiwaongelea wanaume zao vibaya tofauti na wafanyavyo wanaume?

Bwajilo

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
345
880
Wanaume wakichepuka ni nadra ukute anamponda mkewe eti mshamba sijui ajui kuvaa au ajui mapenzi na majina ya hovyo hovyo. Mwanaume atakachofanya ni kumsifia mchepuko bila bugudha na fedhea kwa mkewe au atatumia ushawishi mwingine kinyume na watendavyo wanaweke.

Wanaume ukisikia mkeo au mpenzi wako aliingia ktk mahusiano na mtu anayefaham kuwa mwanamke kaolewa ujue ulivuliwa nguo na nyumba yako iko wazi bila mlango. Wanawake wanakauli mbaya sana ili kuhalalisha kuchepuka kwao ili wasionekane malaya. Kuna mwanamke nilisikia akimwita mumewe shetani, mwingine alimwita mpumbavu yule na matusi ya kila aina. Sasa nikajiuliza:-

Kwa nini wanawake mshindwe kuwatunzia stara watu wenu kwa mchepuko wako?, Hebu fikiri mtu anaeshinda juani kutwa ili akuvishe wewe, akulishe, na majukumu yote malipo yake ni hayo?

Fikiria mtu aliyejilipua na kuamua kukutoa nyumbani kwenu ukute ulishakutana na wanaume hata 30 na hakuna aliyethubutu kukuchumbia wote walikukwea na hawakuona thamani yako bado unakuja mtusi eti mjinga?

Badilikeni wake zetu, wanaume tunachepuka sana ila mjua tunawatunzia heshima zenu na ndio maana hata tukirudi home bado respect ipo juu kwenu kinyume na mtendavyo.
 
Wanaume wakichepuka ni nadra ukute anamponda mkewe eti mshamba sijui ajui kuvaa au ajui mapenzi na majina ya hovyo hovyo. Mwanaume atakachofanya ni kumsifia mchepuko bila bugudha na fedhea kwa mkewe au atatumia ushawishi mwingine kinyume na watendavyo wanaweke.
Kwa ujumla Wanawake dhaifu sana.

Kitu ambacho siwezi nikuongelea madhaifu ya wake zangu kwa Wanawake wengine yaani najiona kama najivua nguo mwenyewe.
 
Mwanamke anahitaji sababu ili ku-cheat ndio maana anaitoa hiyo sababu kwa mchepuko wake.

Mwanaume anahitaji nafasi tu ili kuchepuka. Hata akimkuta mdada jikoni na mkewe ulameenda dukani anaweza akapiga hat trick papo hapo.
Sasa si wachepuke tu kimya
 
Kwa nini wanawake mshindwe kuwatunzia stara watu wenu kwa mchepuko wako?, Hebu fikiri mtu anaeshinda juani kutwa ili akuvishe wewe, akulishe, na majukumu yote malipo yake ni hayo?
Pole ssana...

Ngoja waje kukuambia kwani alitumwa ashinde juani, sii utakae kivulini...
 
Wanaume wakichepuka ni nadra ukute anamponda mkewe eti mshamba sijui ajui kuvaa au ajui mapenzi na majina ya hovyo hovyo. Mwanaume atakachofanya ni kumsifia mchepuko bila bugudha na fedhea kwa mkewe au atatumia ushawishi mwingine kinyume na watendavyo wanaweke.

Wanaume ukisikia mkeo au mpenzi wako aliingia ktk mahusiano na mtu anayefaham kuwa mwanamke kaolewa ujue ulivuliwa nguo na nyumba yako iko
Ukichepuka una heshima kwa mwenza wako kweli? Bila kujali jinsia.
 
Sasa si wachepuke tu kimya
It is impossible. Hiyo ni sababu ya kisaikolojia zaidi. Ukiona mwanamke anachepuka kimya kimya ujue nafsi yake inamsuta huenda hata huyo mchepuko wake hajampenda ila kwa sababu anapewa pesa basi fresh.

Ila kama amezama mwenyewe lazima atiririke tu ili ajitakase nafsi yake kwa dhuluma anayoifanya.
 
Wanaume wakichepuka ni nadra ukute anamponda mkewe eti mshamba sijui ajui kuvaa au ajui mapenzi na majina ya hovyo hovyo. Mwanaume atakachofanya ni kumsifia mchepuko bila bugudha na fedhea kwa mkewe au atatumia ushawishi mwingine kinyume na watendavyo wanaweke.
Kwanini na wewe unakula wake za watu...? Maana umetutolea mifano mingi tu uliyokutana nayo toka kwa michepuko...inaelekea na wewe unaupiga mwingi sana ...sasa kwa taarifa yako leo namwambia mkeo mama Sophia.
 
kwanini na wewe unakula wake za watu...? maana umetutolea mifano mingi tu uliyokutana nayo toka kwa michepuko...inaelekea na wewe unaupiga mwingi sana ...sasa kwa taarifa yako leo namwambia mkeo mama sophia
Wala sijawala mkuu ni experience yangu kutokana na waliohitaji
 
Wanaume wakichepuka ni nadra ukute anamponda mkewe eti mshamba sijui ajui kuvaa au ajui mapenzi na majina ya hovyo hovyo. Mwanaume atakachofanya ni kumsifia mchepuko bila bugudha na fedhea kwa mkewe au atatumia ushawishi mwingine kinyume na watendavyo wanaweke.
Andiko lako ni kama unahalalisha kuchepuka
 
Back
Top Bottom