Wanawake / Wanaume wajibikeni, jitumeni acheni uzembe

Wanawake / Wanaume wajibikeni, jitumeni acheni uzembe

Kama hela huna lazima uchapiwe tu! Hutaki kunya boga na bado utachapiwa kama kawaida.
My observation, wale wenye pesa ndio wanachapiwa asubuhi, mchana jioni. Hao wamama have the means and time kama sio madereva, ni mahouse boi au hata wakaka wa salon. They have tonnes of time on thier hands vile they have watumishi wa kuwafanyia hata mambo madogo kabisa. Wana majumba mtu anafichwa hata utafute vipi hutakaa umpate.

Yule ambaye hana hata mtu wa kuachia watoto aende job saa ngapi ataenda misele kuchapwa nje. Nyumba mlango mmoja nani atathubutu kupokea mwaliko.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! COME ON! BE REALISTIC! Ushawahi wapi kusikia MKE WA MANJI AU BAKHRESA ANACHAPWA? Tuwe tu wakweli MUKE YA BOSS, HATA BOSS AWE NA VIMADA 100 HAONDOKI NA HACHEAT AU KUFANYA LOLOTE LITALOSABABISHA AACHIKE!

Haya ya HB ni sie tu makupu imigination zetu since we ENVY them. Ile kashfa ya Kapuwaya uliona mkewe akiondoka? Thubutuuuuuuuuuuuuu! MWENYE HELA SIO MWENZIO.
 
Mwenye kukosa shukurani hata umfanyie nini hatokushukuru. Mwenye tamaa hata umridhishe vipi hawezi kuridhika.
Fanya unaloweza, usiloliweza achana nalo. Udanganyifu kwa wengine imekuwa ni tabia kwao au sifa.
 
Hakika una MUNGU ndani yako...
 
Hakikisha unamchosha kweli kweli akiamka asubuhi awahi ofisini kuendeleza rat race dadadekiii
 
Jamani wakuu heri
ya Mwaka mpya 2015

Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia
mwenzio kuwa anakusaliti.

Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi nini,
anafanya kitu gani cha ziada mpaka mumeo/ mkeo anachelewa nyumbani
badala yake anapita kwake na wakati mwingine kulala huko, tena utakuta
mwanamke unaye mlalamikia ameshazaa watoto 2/3 na wewe bado binti mdogo,
au wewe Mwanaume unalalamika mkeo anachukuliwa na mtu ambaye umemzidi
kipato,nguvu na mwonekano pia,

Nawashauri jamanii jitumeni na kuwajibika ipasavyo, kama ni Mwanaume
hebu mshughulikie mkeo ipasavyo mpe dozi na mchoshe uone kama
ataukumbuka Mchepuko, pia Dada zetu hebu jitumeni jitambueni tupeni
mambo mpaka tuombe poo uone kama Mchepuko utakuwa dili? kwa lipi hasa?
mwisho kabisa kila mmoja atimize wajibu mwingine wote ipasavyo,
Mi naona kuchapiwa ni kujitakia tu.

Maoni yenu muhimu neno langu sio Sheria.

umeongea ukweli kiasi ila umehalibu kuacha element ya maana. yaaan mapenzi bila iyo element dah ni taabu.....
 
Jamani wakuu heri ya Mwaka mpya 2015

Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia mwenzio kuwa anakusaliti.

Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi nini, anafanya kitu gani cha ziada mpaka mumeo/ mkeo anachelewa nyumbani badala yake anapita kwake na wakati mwingine kulala huko, tena utakuta mwanamke unaye mlalamikia ameshazaa watoto 2/3 na wewe bado binti mdogo, au wewe Mwanaume unalalamika mkeo anachukuliwa na mtu ambaye umemzidi kipato,nguvu na mwonekano pia,

Nawashauri jamanii jitumeni na kuwajibika ipasavyo, kama ni Mwanaume hebu mshughulikie mkeo ipasavyo mpe dozi na mchoshe uone kama ataukumbuka Mchepuko, pia Dada zetu hebu jitumeni jitambueni tupeni mambo mpaka tuombe poo uone kama Mchepuko utakuwa dili? kwa lipi hasa? mwisho kabisa kila mmoja atimize wajibu mwingine wote ipasavyo,
Mi naona kuchapiwa ni kujitakia tu.

Maoni yenu muhimu neno langu sio Sheria.

Roho ii radhi lakini mwili ni dhaifu.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! COME ON! BE REALISTIC! Ushawahi wapi kusikia MKE WA MANJI AU BAKHRESA ANACHAPWA? Tuwe tu wakweli MUKE YA BOSS, HATA BOSS AWE NA VIMADA 100 HAONDOKI NA HACHEAT AU KUFANYA LOLOTE LITALOSABABISHA AACHIKE!

Haya ya HB ni sie tu makupu imigination zetu since we ENVY them. Ile kashfa ya Kapuwaya uliona mkewe akiondoka? Thubutuuuuuuuuuuuuu! MWENYE HELA SIO MWENZIO.

Sounds great..yeah
 
Kawaida Wako Watu wanaopenda kukumbushia zilipendwa especially kama waliachana wanapendana, hapa jiweke kwenye kundi LA MTU mpya utaelewa hii.

Na pia watu hupenda kubadilisha mboga. Fahamu mkeo anaweza kuw na idadi kadhaa ya
X-lovers kabla hajatua mikononi mwako. Kama Mchepuko uko jirani na wewe na mkeo. Na umeshawahi mvua chupi mkeo;ni wazi ukililia tu utapewa kama sehemu ya huruma. yapo madai kuwa cha wizi kitamu.
Itokee umegombana na mkeo;Mchepuko unaweza kuonyesha kujali hisia zake kuliko wewe katika kumfuta chozi mabegani mkeo ili kumaliza hasira na wewe anampa haki yako.

Mi binafsi mwanaume nikiachana nae cwezi mrudia tena.hamna cha kukumbushia yani na wanaofanya hivyo no tabia yao maana kama ana akili timamu atakaa mbali na uyo X wake...
 
Mi binafsi mwanaume nikiachana nae cwezi mrudia tena.hamna cha kukumbushia yani na wanaofanya hivyo no tabia yao maana kama ana akili timamu atakaa mbali na uyo X wake...

Ina maana hutamhurumia akililia papuchi.? VP kama mliachana huku mnapendana?
 
Ina maana hutamhurumia akililia papuchi.? VP kama mliachana huku mnapendana?

Yani tumachana ndo imetoka iyo kwanza huo muda wa kuniomba mpk nimuonee huruma anapewa na nani? Hamna cha kupendana na mda huo niliyenae ndiyo nimpendae.
 
Back
Top Bottom