Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Sikuzote hua nasema kua mwaume ni cheo, nikama utume, mungu hatokupa mamlaka yakua mwanaume ikiwa ubongo wako ni dhaifu mbele ya akili za mwanamke.
 

Kama unasubiri kua na ela ndo hue mwanaume then huwezi kua mwanaume hata ukipata izo ela.

Hapo tuu tayari una hali ya kua “insecure” sababu eti mwanamke ukiwa hauna ela ataenda kwa wenye ela wampe jeuri!

Unaweza kupata pesa ukawa millionaire bado mwanamke wako akapendwa na billionaire so utaishi maisha yako yote kuangaikia attension ya kumtuliza mwanamke!

Ukishakua mwanaume kamili kwenye ubongo hayo yote hayawezi kukusumbua utaweza date na mwanamke millionaire na akawa chini ya tawala yako bila pesa.
 
Mwanaume unatakiwa apambane kutekeleza majukumu yako ipasavyo ila tofauti na hapo utakuwa Bwege na mjinga tu.
 
Mwanaume kwanza hata hutakiwi kukaa ni matumizi mabaya ya matako mwanaume unasimama week nzima
Unalala umechuchumaa
 
Point tupu
 
😂😂😂
😂😂 Mzee umeandika kwa hisia sana aisee ila ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…