Una ka upofu kakubwa sana dadamchangamfu,uelewa hauletwi na haujawahi kuletwa na elimu,wapo watu wengi sana wana madigrii na masters lakini uelewa ni sifuri,UMRI;hujawahi kusikia kubwa zima lakini hovyo?Hebu angalia kama yale mabunge kule mjengoni,kama elimu ingekua kigezo basi tungekua na matokeo chany sana bungeni.UMBO;hapa napo pana tatizo,unawajua wachina wewe?Je wana maumbo makubwa kama scania?Lakini hebu kamguse mkewe halafu uone!Wake zao hata kama likizuka varangati la watu kumi,wana uhakika na usalama wao.Umbo has nothing to do with protection dada yangu.Furaha na ridhiko lako haliletwi na mtu mwenye pesa,elimu wala umbo kubwa bali ANAEJITAMBUA!
Sijaona kama umeonesha mawe hapo,kulikoni?
Ahaa...nilipitiwa kidogo, mawe muhimu ya kupalilia penzi. Wapenzi shti muende bichi, mlimani city, Quality centa, pale nanihiu kukuza na kuimarisha penzi. Sio kila siku home tu kula ugali na dagaa, hata kushangaa tu shida. akhuuu pesa yahitajika bwana.
like x52 mamie. mawe ndo mpango mzima co ntake kwenda kuteketeza sh.50000 salon aanze kulalamika. hapo ni nywele tu. bdo pedicure na makorombwezo yote. . .
Eiyer: umekosea sana mapenzi hayana umri,elimu.sura ni sawa na usiku wa giza umeshindwa mwenyewe, mapenzi ni kuridhika kimwili kiakili kwa ujumla satisfaction.
Ikiwa unaridhika na mwenzi anaridhika tosha kwa maana nyingine umeshindwa kumfikisha(peak) mpenzi wako ushauri wangu jitahidi kumfikisha mwenzi wako kimapenzi sehemu yake uone matokeo yake,hakuna cha elimu,uchafu,sura wala fedha inayoweza kumzuia asiwe karibu na wewe.kitu maisha mengine matokeo.
Kuridhika ni kitu kidogo sana lakini ni nguzo kubwa katika mapenzi,tatizo vijana wa leo puling power hakuna,ndiyo maana wazee vijana wanashinda gemu kila wanapoingilia kati iwe ni kwa mke wa mtu,mchumba wa mtu au vibinti vidogo visivyojua mapenzi hadi vianachanganyikiwa.someni vitabu,fanya mazoezi kabla relax chunga maneno yako na maana yachambue kabla haujamueleza mwenzi wako jaribu kuwa na maneno yenye mvuto na matumaini utaoa hata malkia ukitaka.
Ahaa...nilipitiwa kidogo, mawe muhimu ya kupalilia penzi. Wapenzi shti muende bichi, mlimani city, Quality centa, pale nanihiu kukuza na kuimarisha penzi. Sio kila siku home tu kula ugali na dagaa, hata kushangaa tu shida. akhuuu pesa yahitajika bwana.
Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?
like x52 mamie. mawe ndo mpango mzima co ntake kwenda kuteketeza sh.50000 salon aanze kulalamika. hapo ni nywele tu. bdo pedicure na makorombwezo yote. . .
Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?
Eiyer mdogo wangu, wakati ule maisha hayajani-infletikia nilikubembeleza uende shule ukagoma.
Kiukweli mie siwezi kutoka na mtu wa std 7, hata kama ana hela kama kichaa kwa sababu najua atajisikia inferior kila wakati. Na siwezi kutoka na mtu mwenye hela nyingi sana kwa sababu nitakuwa sensitive akichelewa miadi tu nitaona ananidharau. Staki kusikia 'baby, naomba tusitoke/nisije kukuona, k
na business deal imejitokeza....', nita-fume japo ingekuwa ni dili la mzigo wa vitunguu ningekuwa fresh.
Ila kaka, kwani hata wewe si una vigezo vyako kabla ya kumtokea binti? Waache na wao waweke vigezo. Mi naulizaga cv na bank statement za miezi 3 upfront kabla hata ya utani wa kimapenzi,lol
Wanajisahau kuwa huwa wanawapendaga waliojiremba au waliopendeza hafu kuwapendezesha wapenzi wao wanang"aka sasa sijui tutapendezaje kama wasipotuwezesha, lol. Eti true love......true love bila kupendeza. bila mashamushamu aka.
aalaa,et wanapenda waone umependeza ndo waanze kukuitaita. ukiwa rough hupat hata salamu.wanasahau kuwa kuna kugharamika et.! pendezesha kwanza kisha tumia kwa raha zakoa lol. . .
This kind of ladies does not exist nowdays!
Kwani ni wanaume wangapi wangefurahia kuoa wake wanaowazidi elimu au kipato? Kama wapo huwa wanahitaji penzi la muda mfupi tu sio ndoa. Kuna wanaume wengi tu anaweza akawa amevutiwa na wewe ila ukisema tu elimu yako anaanza kukuita dada. Wengine hajaribu hata classmates wenzie. Mi naona pande zote hii inahusu na huvunjwa tu pale penzi la kweli linapoonekana otherwise kuna wanaume na wanawake wengi wameoona kwa hizo sifa tu na kuwaacha wale waliowapenda ukweli.