Wanawake wanataka wenye...

Mnatukera sana.... hadi hasira zinapanda. Niwie radhi kama nimekuudhi.

Hapana Remmy, sijaudhika...sana sana uniwie radhi kwa 'kukuchokoza'

Kukera inategemeana na mtu uliyekutana naye

Lakini pia nikumbushie wimbo huu hapa kwa ajili ya reflections

Last edited by a moderator:
Hapana Remmy, sijaudhika...sana sana uniwie radhi kwa 'kukuchokoza'

Kukera inategemeana na mtu uliyekutana naye

Lakini pia nikumbushie wimbo huu hapa kwa ajili ya reflections

Worry not, sometimes uchokozi wa muhimu. Asante kwa reflection. Ila imekatakata sijaenjoy.
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako,mi darasa la saba..........!

Basi wewe ni mkali maana comment zako hazijakaa ki-std 7, back to the point, kinadada sometimes wajifunze kuibua vipaji maana kwa style hii ndio maana wengine wanaangukia kwa watu ambao hawaendani in terms of tabia na mitazamo. Kuna wanaume wengine wanasoma kama watapata mtu wa kuwatia moyo lakini kila mdada akikimbilia ready made (ambae amesoma) mwisho wa siku manyanyaso kwa kinadada hayaishi. Mdada unaweza ukawa na mtu ameishia form 6 anaendesha maisha yake vizuri na wewe ni graduate hapa hakuna shida ni kutiana moyo kwani unaweza shangaa mwanaume wako akapiga buku mpaka PHD
 
Yaani itabidi niombe pack ya makungwi tusaidiane maana; ila tusimtoe roho tu virgin wangu! gfsonwin huo ukaka si unauweka pembeni kwa muda wakati tunambikiri Eiyer si eti eeh!
Kaunga mamito miye ni dada yake wa moyoni so sitoweza mila zetu siye azigua haziturusu. Anatakiwa shemeji yake ( mke wa kaka yake) ndio awe mfundaji na hapa na propose cacico akisaidiana na sweetlady.Vifaa kama msuli na pumba nitawaandalia.

hapa afundishwe hasa namna ya kudo na matumizi ya kitambaa cha shughuli mengine siendelei ntakula ban bure..............
 
Last edited by a moderator:
elimu na umri - atakuwa na uelewa zaidi yangu. pesa hata cku nikikwama atanipa mtaji. umbo - security

Una ka upofu kakubwa sana dadamchangamfu,uelewa hauletwi na haujawahi kuletwa na elimu,wapo watu wengi sana wana madigrii na masters lakini uelewa ni sifuri,UMRI;hujawahi kusikia kubwa zima lakini hovyo?Hebu angalia kama yale mabunge kule mjengoni,kama elimu ingekua kigezo basi tungekua na matokeo chany sana bungeni.UMBO;hapa napo pana tatizo,unawajua wachina wewe?Je wana maumbo makubwa kama scania?Lakini hebu kamguse mkewe halafu uone!Wake zao hata kama likizuka varangati la watu kumi,wana uhakika na usalama wao.Umbo has nothing to do with protection dada yangu.Furaha na ridhiko lako haliletwi na mtu mwenye pesa,elimu wala umbo kubwa bali ANAEJITAMBUA!
 
Wanajifanya mi yangu tamu, najua kugonga hasa, kamaliza. Yanajidanganya eti wanawake wanapenda mkaka anayejua kugonga, yanabweteka yamemaliza, nyooo.

So,kama sio mgongaji mzuri ndo ishu,mwenye mawe masitaz ndo dilieeeee!
 
Basi wewe ni mkali maana comment zako hazijakaa ki-std 7, back to the point, kinadada sometimes wajifunze kuibua vipaji maana kwa style hii ndio maana wengine wanaangukia kwa watu ambao hawaendani in terms of tabia na mitazamo. Kuna wanaume wengine wanasoma kama watapata mtu wa kuwatia moyo lakini kila mdada akikimbilia ready made (ambae amesoma) mwisho wa siku manyanyaso kwa kinadada hayaishi. Mdada unaweza ukawa na mtu ameishia form 6 anaendesha maisha yake vizuri na wewe ni graduate hapa hakuna shida ni kutiana moyo kwani unaweza shangaa mwanaume wako akapiga buku mpaka PHD

Yes,comet zangu zimekaa kaa ki std 7 vile!
 
Wadada mliochangia humu,mna tatizo moja,kwa nini mnapotendwa na mwanaume mmoja mnaapa kutafuta mwanaume aliewazidi?Acheni kuwahukumu wengine kwa matatizo ya wengine.Hao wasiojiamini hawajui MWANAUME hasa ni nani.Kama ni hivyo,vipi kuhusu mume wa Chancelor wa Ujerumani?Mbona amezidiwa na mkewe na maisha yanaenda?Vipi kuhusu Ellen Jonson Selif?Umewahi kusikia mambo ya hovyo ya uhusiano wake?Wanaume dhaifu wapo sikatai lakini ni kwa kiwango kidogo sana dada zangu. . . . . . . . . . . . .Kuna mfano mwingine,wale ma-celleb wa dunia kama Serena Wiliams,Britney Spears,Rihanna,Cindy Crowford,Julia Roberts na wengineo waliwahi kusema kuwa wanahitaji wanaume wa hali ya chini ili wafurahie maisha na uhusiano,hivi mnadhani ni kwanini walisema hayo kama mnadhani kumzidi mwanaume kuna matatizo?Au na hao wana mawazo finyu kwa sababu hawajaenda shule?
 
asante mtoa mada, bt hvo ndo vigezo vyangu. make kila mtu ana vigezo vyake. haijalishi, hata we una vigezo vyako ktk maisha. kama nitakosa mwenye vigezo vyote vinne walau awe navyo vi3 na co vi2 ama kimoja. masuala ya kuja kujuta oh mara nimekosea uchaguz ctaki. thou hakuna aliyeshawah kupatia ktk uchaguz ctaki! kuolewa c lazima na siole kwa kushinikizwa wala silazimishwi na mtu yoyote. . . naolewa nikiwa nimeridhika na muoaji na co kufuata fashion. BTW Nadhan umemsoma dada gfsonwin nafkr amedadavua vyema
 
Last edited by a moderator:
Dada chaminglady,uko sahihi kabisa kwa sababu hayo ni maisha yako na hakuna atakaeweza kukupangia.Lakini,ushauri nao unaweza kukusaidia kujua kama unajiingiza chaka ama la.Vigezo ulivyotumia inaonekana havina maana kwa sababu umekosa point za kuitetea hoja yako,ila umeamua tu kusema sitaki kupangiwa,wala hakuna anaekupangia na hakuna atakaeweza kukupangia labda uwe umemruhusu.Ni kweli kuolewa sio lazima,nakuunga mkono,lakini unatakiwa ufanye jambo ukiwa na sababu ya msingi.Mimi sina vigezo mimi nawapima watu kwa ubinadamu wao,sio elimu,umbo,pesa,rangi na mengineyo yasiyokua na mashiko kama hayo.Furahia maisha kwa kuishi kibinadamu zaidi na sio kimazingira,utapata furaha na utaendelea kuwa charming!
 
Wadada mliochangia humu,mna tatizo moja,kwa nini mnapotendwa na mwanaume mmoja mnaapa kutafuta mwanaume aliewazidi?Acheni kuwahukumu wengine kwa matatizo ya wengine.Hao wasiojiamini hawajui MWANAUME hasa ni nani.Kama ni hivyo,vipi kuhusu mume wa Chancelor wa Ujerumani?Mbona amezidiwa na mkewe na maisha yanaenda?Vipi kuhusu Ellen Jonson Selif?Umewahi kusikia mambo ya hovyo ya uhusiano wake?Wanaume dhaifu wapo sikatai lakini ni kwa kiwango kidogo sana dada zangu. . . . . . . . . . . . .Kuna mfano mwingine,wale ma-celleb wa dunia kama Serena Wiliams,Britney Spears,Rihanna,Cindy Crowford,Julia Roberts na wengineo waliwahi kusema kuwa wanahitaji wanaume wa hali ya chini ili wafurahie maisha na uhusiano,hivi mnadhani ni kwanini walisema hayo kama mnadhani kumzidi mwanaume kuna matatizo?Au na hao wana mawazo finyu kwa sababu hawajaenda shule?

Una mpango wa kunidiss mimi utafute mwenye fweza na shule zake nini?
 
Dah itabidi niamke sasa maana mie huwa nina ugonjwa wa kupuuzia vyote in the name of "Love Conquers all"! No wonder I failed.......................!
King'asti, una visa wewe? eti unaulizia Bank Statement kwanza
 
Last edited by a moderator:
mapenzi kila mtu ana mtazamo wake aseee...achana na wadada :sad:wakisoma na wakiwa na hela tabu eti hawaoleki!!wasiposoma wakitafuta mwanaume watunzwe shida eti atm material:sad:mwanaume akipata pesa mwanamke anakua "si size yake hana exposure"
nimeipenda hii thread
 
Back
Top Bottom