CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Na wewe tafuta wa std 7 wenzio.....!
Usione vinaelea vimeundwa! na wewe viunde vyako!
Eiyer, ulisoma hapa???????????
Last edited by a moderator:
Na wewe tafuta wa std 7 wenzio.....!
Usione vinaelea vimeundwa! na wewe viunde vyako!
kazi nzuri....uvutio.....elimu nzuri....
sio kuleta za kuleta.....
Kwa jinsi ulivyolalamika hapa kwanini usiende kusoma, na kutafuta hizo pesa mkuu.....:A S confused:
So,kama sio mgongaji mzuri ndo ishu,mwenye mawe masitaz ndo dilieeeee!
Chezea gfsonwin wewe. . . . !!
Purple, umeongea kweli kabisa.... ukute hana hela hana elimu ptyuuuuuuuu wa kazi gani LMAO!!!!!!!!Kwa maisha ya siku hizi halafu mwanaume akose vyote yaani elimu na pesa mtaishije sasa??kama hana elimu then awe na pesa na kama hana pesa basi awe na elimu..mwanamke ukimzidi mwanaume pesa na elimu kila unachokifanya utaambiwa unamnyanyasa!
Dah itabidi niamke sasa maana mie huwa nina ugonjwa wa kupuuzia vyote in the name of "Love Conquers all"! No wonder I failed.......................!
King'asti, una visa wewe? eti unaulizia Bank Statement kwanza
mapenzi kila mtu ana mtazamo wake aseee...achana na wadada :sad:wakisoma na wakiwa na hela tabu eti hawaoleki!!wasiposoma wakitafuta mwanaume watunzwe shida eti atm material:sad:mwanaume akipata pesa mwanamke anakua "si size yake hana exposure"
nimeipenda hii thread
Ishu ni vyotevyote, kuwa na upendo wa kweli, jali, jua wajibu wako kama mwanaume, gonga vizuri maisha yanakwenda. Sio kujifanya mnajua kitandani tu, mbona hamuwaoi machangudoa wanaojua kazi.
Kwa maisha ya siku hizi halafu mwanaume akose vyote yaani elimu na pesa mtaishije sasa??kama hana elimu then awe na pesa na kama hana pesa basi awe na elimu..mwanamke ukimzidi mwanaume pesa na elimu kila unachokifanya utaambiwa unamnyanyasa!