Wanawake wanataka nini/What do women want?

Wanawake wanataka nini/What do women want?

Mwanamutapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
513
Reaction score
489
Naandika hii hoja nikitafuta majibu yakinifu na ya msingi kutoka kwa wanawake pia wanaume wenye majibu sahihi uzi wangu nimeuliza wanawake wanataka nini?

Maana nimeangalia katika hili nimeshindwa kupata majibu.

Case study yetu ya swali hili itamlenga mke wa pili wa rais wa zamani wa Gabon Judith Lucien Bongo mwanamke huyu alikuwa mtoto wa Rais wa Congo Brazaville Rais Denis Sassou Nguesso akiwa msomi kabobea kwenye taaluma ya udaktari na pia ni mwanamke mzuri kwelikweli aliamua kuolewa na mwanaume anayemzidi takribani miaka 30

Pamoja na kuwa ni mtoto wa Rais Denis Sessou Nguesso kakulia kwenya mali na madaraka pia ana taaluma na ni mzuri anaweza olewa kwa kugombaniwa ukizingatia ni mtoto wa president ambaye hakuwa na ukomo wa kutawala lakini bado aliamua kuolewa na Rais wa nchi jirani ya Gabon akiwa mke wa pili na aliyemuoa akiwa na miaka 8 zaidi ya umri wa baba yake na akimzidi Judith miaka 29 na si kwamba ni handsome bali wa kawaida mwenye kimo cha futi 4 11" hata futi tano hafiki

Kwanini afanye vile? Angekuwa mtoto wa masikini tungeelewa, angekuwa hana taaluma tungeelewa,

angekuwa fukara tungeelewa, baba yake asingekuwa rais tungeelewa yaani kwanini aamue kuolewa na mzee vile kwa sababu tu mmewe ni Rais wakati na baba yake ni rais pia na kakulia ikulu?

Jamani naomba majibu yasiyo na mzaha nijue psychology ya hili swala ni nini haswa jibuni kwa kadri mjuavyo. Ahsanteni
 
Hi stori dah!! sure.. wanawake wanachowaza ni makorokocho. ha ha ha ha. anyway natania tu.. jibu wanalijua wenyewe.
 
Mkuu ukitaka kumulewa mwanamke subiri aje kwako utamjua tu
 
Wanawake hawaeleweki mkuu ata kidogo so be care.
 
Badala ya kuumiza kichwa na wanataka nini we jikite kwenye nini mwanaume akiwa nacho anaweza kuwa na "amani" katika mahusiano!!!!!

"Dont study people, you will never graduate " kwa hisani ya Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Kichwa habari kina sentensi mbili tofauti zenye maana mbili tofauti. Lugha
 
mi kiingereza nakifaham kwa mbaal lakin hiki chako mh!!! nadhan hyo sentens i mean heading ina walakin!
 
Hakuna kingereza cha what women do they want...???
 
mi kiingereza nakifaham kwa mbaal lakin hiki chako mh!!! nadhan hyo sentens i mean heading ina walakin!

Wanawake mnataka nini = what women do they want... kwa hisani ya dikshenari ya kipare. Bila kuweka kimombo tungejuaje kaenda shule? ushasoma headings za hadithi za shigongo? unaangalia bongo movies? ndo ujue watanzania tumekuwa watumwa wa lugha ya watu, afu bahati mbaya sana hatuijui kiviiile...

Wanawake mnataka nini? Kwangu mimi nlishaelewa swali, sikuhitaji tafsiri ya kimombo wakati hoja yenyewe imeletwa kwa kiswahili.

Turudi kwenye mada, eti flora, we huwa unataka nini ukiacha mgegedo na mapesa?
 
hahahaha loh tuchepuke pembeni kwanza maana nataka ving sana halaf mgegedo ndo stumii kabisaa
 
Swali gumu ngoja nisikilizie naona watu hawajii kabisa ingekua ya wanaume watu wangejaajee
 
Back
Top Bottom