Wanawake wanataka 50/50 kwenye vitu laini tu

Wanawake wanataka 50/50 kwenye vitu laini tu

#PilikaPilika "Wanawake wengi wanataka usawa 50/50 lakini kwa Kwa mfano tukisema wanawake wote waende vitani halafu wanaume wabaki nyumbani, mtakubali nyie??....kwahiyo mnataka usawa kwenye vitu laini lakini kwneye vitu vigumu hamtaki usawa" @dr.mwaka

#PilikaPilika #EastAfricaRadio

Kwenye mambo ya kubeba cargo kariakoo (ndwika) mma hawatakiView attachment 3394386

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
HIj ni kweli kabisa ila Kuna wanawake wachache wenye busara na hekima wanaipinga hii 50 Kwa 50 wanasema kabisa mwanaume ni mwanaume tu.
 
Back
Top Bottom