Wanawake wanataka 50/50 kwenye vitu laini tu

Wanawake wanataka 50/50 kwenye vitu laini tu

1751690005686.jpeg
 
I meant waache kutaka vitu laini ...waende na kariakoo kubeba ndwika

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vingine maumbile yanakataa tu kiasili, mama samia kuwa raisi anaweza ila kuvua shati na kwenda kuchana magogo porini hawezi , kuna vitu sisi wanaume tushavipambania vikawa rahisi hata kwa mwanamke kuvifanya bila shida.
 
Zanzibar ukienda wanawake wanabeba zege.

Na ukienda usukumani wanawake wanalima Sana

Kuhusu nguvu wanawake nguvu wanazo na wapo wanaofanya Kazi ngumu Sana kuzidi hata wanaume ambacho hawana ni uwezo mkubwa wa akili .
 
Kuna vitu vingine maumbile yanakataa tu kiasili, mama samia kuwa raisi anaweza ila kuvua shati na kwenda kuchana magogo porini hawezi , kuna vitu sisi wanaume tushavipambania vikawa rahisi hata kwa mwanamke kuvifanya bila shida.
Mwanaume akitembea kifua wazi barabarani ataitwa jasiri au ana Overconfidence.

Mwanamke akifanya hivyo ataitwa chizi na hata akijitahidi akavaa ka-Tshirt kafupi bado ataambiwa kavaa Nusu uchi.

Infact 50/50 haitakuja kuwezekana
Itahitaji Dini zifutwe, kizazi kipya na Elimu mpya kabisa.
 
Sio kutaka , maumbile ya mwanaume kiasili yamejengeka kupambana kwenye vitu vigumu , hivyo ni haki ya wanawake kutaka usawa kwenye vitu laini, mambo ya usawa mwisho wa siku na yeye ataomba popo Kanyea mbingu kwa mkewe na pesa ya uchakavu gademiiit
Yote uliyoandika yanathibitisha kuwa 50/50 siyo mpango wa asili wa Mungu, ni harakati za wahuni tu kupingana na Mungu.
 
Ndo maana waarabu hawana huu uparata wa 50/50.
 
Back
Top Bottom