Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Huo muda hatuna sisi sio walimu wa mapenzi tunataka mapenzi.pia SAA zingine moyo tu unamkataa mtu MkuuIla unatakiwa walau kumfanya mhusika ajue kuwa anatakiwa kuongeza ujuzi kupotea kimya mnaishia kuwapa watu msongo wa mawazo
Au ni mchafu hvo yaani hakuna formular