SENZANGAKONA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 279
- 215
Wapo wengi sana unakuta anakutumia afu anakupotezea baada ya muda anakutafuta tena kutaka umpe mambo. Sio watu wema sana kiafya.
Kwan unapungukiwa nniWapo wengi sana unakuta anakutumia afu anakupotezea baada ya muda anakutafuta tena kutaka umpe mambo. Sio watu wema sana kiafya.
Umesema Kweli Mkuu,Wapo wengi sana unakuta anakutumia afu anakupotezea baada ya muda anakutafuta tena kutaka umpe mambo. Sio watu wema sana kiafya.
kuna mwanaume hafai kurudia .mtusamehe tu bure
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Inakua kama ulichotegemea sicho unampotezea tuu
Hv mtu akikupm anakuwa na maana gani Mkuu?Mwenzako ana kimzizi, Na amekupania kweli kweli. It must come to pass
Bujibuji???Utakuwa mwezini Bwana, sema una kideti Na huyo jamaa ana kimzizi, atakupenyeza Na damu zako, shauri yako
Wanazinguaga tu na unakuta hajakupenda aisee. Wanawake kama Hawa hutakiwi kua na papara nao wanapojisogeza. Unatakiwa uwe na shughuli zako kama huwaoni vile. Na siku akikutunuku basi usiharakishe kumpiga miti Bali unakuwa tu romatic hivi. We jifanye hutaki sana hayo mambo. Mhudumie hiki MPE kile, mpleleke sehem kama diner au lunch. Usiwe na haraka kuomba gem. Ukimpa nice moments kabla ya sex basi anaweza kurudi na kurudi na kurudi. Kama ndo unakua huna hela kama Mimi ndo usahau kabisa kama atarudi. Nionavyo mm na uzoefu.Kinachokufanya usimrudie mwanaume ni kipi? Mzigua90
Sasa utafanyaje. Na wao wanavyotupotezeaga wanakuaga wanaona hapa hamna kituyaani ukitoka hapo na namba unablock mazima.ila kuna watu jamani yaani acha tu
Vile ninavyo ku PM ninakuwa Na maana gani?Hv mtu akikupm anakuwa na maana gani Mkuu?
Nini my love?Khaaaa
Nmebak mdomo wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimkubali mtu yoyote anayekutongoza siku za karibuni, ukimkubalia, maisha yako yatakuwa mabaya mno. Mtu huyo ana mizimu. Kideti cha ijumaa kifute
Kweli nisiporudi sijakupenda na game yako haijanisisimuaWanazinguaga tu na unakuta hajakupenda aisee. Wanawake kama Hawa hutakiwi kua na papara nao wanapojisogeza. Unatakiwa uwe na shughuli zako kama huwaoni vile. Na siku akikutunuku basi usiharakishe kumpiga miti Bali unakuwa tu romatic hivi. We jifanye hutaki sana hayo mambo. Mhudumie hiki MPE kile, mpleleke sehem kama diner au lunch. Usiwe na haraka kuomba gem. Ukimpa nice moments kabla ya sex basi anaweza kurudi na kurudi na kurudi. Kama ndo unakua huna hela kama Mimi ndo usahau kabisa kama atarudi. Nionavyo mm na uzoefu.
Nmepata ganz ya gafula mai luvNini my love?
Wewe ni Nabii wanguVile ninavyo ku PM ninakuwa Na maana gani?
Kwanini beb?Nmepata ganz ya gafula mai luv