Naww unanitumia??Hako katabia jamani..![]()
Labda nadhani unakuta ushatembea naye, alafu baada siku moja unakutana na mwingine mkali zaidi ya yule wa jana,Hapana unakua na hisia nae flani hiviii sasa ukifika ndani zile hisia badala ziongezeke unakereka. Sio suala la nyege hata
Umeanza na nikikupa facts unakerekaZamani nilifanya haka kamchezo aisee
Hamna. Kuachana nae hakuhusishi kuona mwingine. Labda unawaza ukifika atakufanyia hiki na kile. Ila unafika hata kukuambia asante hawezi. Unagundua ni mchafu. Hajui kukiss. Ubongo wake haujui vitu vingi. Mwanaume wa hivyo kwa mimi mara moja tu namtosa.Labda nadhani unakuta ushatembea naye, alafu baada siku moja unakutana na mwingine mkali zaidi ya yule wa jana,
Hapa kuna kitu kutamani kuliko kupenda (mapenzi)
Naungana na wewe dadake,Hamna. Kuachana nae hakuhusishi kuona mwingine. Labda unawaza ukifika atakufanyia hiki na kile. Ila unafika hata kukuambia asante hawezi. Unagundua ni mchafu. Hajui kukiss. Ubongo wake haujui vitu vingi. Mwanaume wa hivyo kwa mimi mara moja tu namtosa.
Si bora umfahamishe!Hamna. Kuachana nae hakuhusishi kuona mwingine. Labda unawaza ukifika atakufanyia hiki na kile. Ila unafika hata kukuambia asante hawezi. Unagundua ni mchafu. Hajui kukiss. Ubongo wake haujui vitu vingi. Mwanaume wa hivyo kwa mimi mara moja tu namtosa.
Unakua umemtamani tu sasa unatafuta sababu ya wewe kumpenda. Ukikosa sababu ndo unaondokaNaungana na wewe dadake,
Lakini kama umempenda utamuambia kasoro zake na kumrekebisha, kama umemtamani hutamuambia na utamtoroka (utamuacha solemba)
Na kama ulimtamani leo, kesho utamtamani mwingine , kesho kutwa utamtamani mwingine as result utakua umetupitia karibia wote
Nyie mkituachaga mnatufahamisha? Mtu unatakiwa ujiongezeSi bora umfahamishe!
HahahaInakua kama ulichotegemea sicho unampotezea tuu
Somo babu kubwa. Barikiwa mkuuNyie mkituachaga mnatufahamisha? Mtu unatakiwa ujiongeze
Yalaaaaaaaaaaaaaaaa!Inakua kama ulichotegemea sicho unampotezea tuu
Una uhakika gani kama hawezi kuja kusoma hii post yako?Nimewahi kuwa na demu wa namna hii tena ni lecturer kwenye chuo kimoja kikubwa tu hapa Tanzania!!
Huyu demu akitaka gegedo lako hata nauli ya pipa anakulipia unatoe dose tu... kuna siku alienda mwanza,wakati huo pia nipo mwanza,mwanaume nikapasha msuli kwamba leo nina heavy match,eeeeeee nikashangaa anasema hataki gegedo,kaja mwanza just for vacations tu!! Tangu siku hiyo nikafuta kabisa kama nina huyo demu!
Hadi leo hajaolewa,hua ananitafutaga tu,naenda kumudidimizia dushe,basi maisha yanaenda!! Now ni PhD holder