Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,970
- 168,908
Hapa kaongelewa mwanaume...nawe ni mwanaumekwani mi ni kioo cha jamii mi ni raia wa kawaida tu Evelyn Salt unampenda dai hadi unatamani unipe adhabu kwa kumtaja duh mahaba niuwe haya
Yenye pilipili nyingi
Nini tena darling atoto hebu nambie. Evelyn Salt naomba mwongozo wako
kama dai anavyobishana na jokate
Kesi yangu nawewe haihusiani na hiki kinachoendelea humu, ni ya kifamilia zaidi
Mashtaka yangu ni yepi
Nini tena darling atoto hebu nambie. Evelyn Salt naomba mwongozo wako
Wait kabla sijatoa mwongozo atoto ndo yule umemsave
sweet 3 au ndo sweet 4?
Hahahaaaaa! Evelyn Salt mie hata sijaseviwa kwenye simu ya Kaizer, namba yangu iko kichwani mwake. Hao ulowaona nadhani ni Honey Faith na wengine walio kwenye list.
Loooooh!!!.....hii list ya michepuko uliyo nayo ni hatari,naomba na mimi niunge foleni please!!
Shindwa wewe!
Mbona wengine unawaunga foleni bila masharti mimi nimekosa nini dear??????
Hauna vigezo.
Evelyn Salt kwa jibu hili sidhan kama nahitaji tena kukuambia......maana hana namba huyu....mwongozo wako nilikuwa naomba nimkate nisimkateNimekumiss.
Hauna vigezo.
Hahahaaaaa! Evelyn Salt mie hata sijaseviwa kwenye simu ya Kaizer, namba yangu iko kichwani mwake. Hao ulowaona nadhani ni Honey Faith na wengine walio kwenye list.