wanawake wanaoolewa They are not SMART

i agree with you zahra...
wanawake wanaoona kufulia na kupika ni wajibu wao na sio wanaume kama sio mamburula ni nini?
wengi wanaolewa kama insurance ya mafao uzeeni(watoto)...hawana confidence ya kuishi wenyewe hence ndoa.
 
baelezee!bidada alafu ajiulize nyumba kubwa ngapi zinajitangazia kuwa mume anacare?co mambo mapya kwao ni daily sasa yeye akimcare siku 1 kelele mpaka mtandaoni.

nashanga!!wanaishia kufujwa na kuchakazwa
tuliomo ndani tunameremeta na kula mema ya nchi
shwain zao!!mume anakula mpaka 0713 thn anatemwa
mke ni mke tu bana haaa!!
 
huo mtazamo wa kitumwa kabisa a man u struggle to please so he can marry u and keep u as a slave to cook do loundry take care of the kids and please him in bed wle ur buzzy doing dat he is flirting wth beutful sexy and free galz hu is eating makombo dea? house wife or part tym woman?
 
kaa na umbumbu wako sio kila mwanamke aliolewa ananyanysika weee weeee mpaka nasema nimechelewa kuolewa yaan mpaka naona vile nazaliwa tu ningepata mchumba hizi raha naona zimechelewa kuja hahaha we kaa na Married woman are inferior,they dont know their right. thubutu uoze na ukahaba wako
 
hapa wakina amu tunapita kimya kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
Yote kwa yote aina zote za wanawake wanaolewa; walio smart, wasio smart, walio brave na hata wasio brave. Inategemeana na makubaliano yenu. Women!! You're all brave and smart enough.......🙂
 
I believe this thread was put up by a woman who is single old and bitter, Mary mother of jesus got Married to joseph what makes those "brave women" any better than her??
 
Hahaha.
Nimeghairi ile project ya kutafuta nyumba ndogo. Cant wait for a holiday na paw wangu. Kwenye michongoma kuna vumbi na nyoka nahisi, achilia mbali kuchomwa!
tena hata gesti hawaingii, ngoma zinaishia parking, kenye michongoma au vibarazani tu...
 

Mmetuchosha na makelele yenu haya yasiyokuwa ni kichwa wala miguu

Hivi hujui kuwa kuna wanawake huko wanaishi na waume zao na wana furaha?

Hivi hujui kuwa kitendo cha mwanamke kuolewa ni ishara ya kujitambua?
 
these are typical statements of duds; wise ladies never ever stick on these untidiness arguments from Zahra White [QUOTE=Zahra White;6927522]Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.[/QUOTE]
 
mwambie huyo..., anadhan ndoa mchezo.. lazima uwe smart.. ndoa ilimshinda mzee madiba atii.
 
sijapenda mawazo yako haya. ila napenda sana hii kiswahili yako muzuri, yaan sina mbavu hapa..
 
umesahau:- Wifu is behind every Success Man !
Huwezi kuitwa Baba bila kuwepo Mama (married couples)....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…