Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno

Wodi imejaa wajawazito na vichanga

Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa

Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake zetu wawe na usalama na stara

Wamama wanatembea uchi kwenye ka wodi, yaani hamna stara

Labor room mtu anasukuma au anaugulia uchungu kila mtu anasukia kama analia au alikunya kila mtu anajua

Serikali imeamua kuwadhalilisha wanawake

Serikali kuweni tu wawazi na waungwana kama sera ya kujifungua Bure haitekelezeki Toka ianzishwe

Mbona wananchi wanalipia huduma zingine zinazotolewa na Serikali Bure kama umeme na maji na wamezoea wala hawalalamiki

Mtu unamwaminisha kujifungua ni Bure ila gharama zinamtoka na usalama wake na mtoto unakuwa mdogo
 
Nimesoma mpaka mwisho.

Haujatajwa mkoa.

Haijtajwa wilaya.

Haijatajwa hospitali.

Mleta mada anatumia ID fake.

Mleta mada ni JUHA
 
Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno

Wodi imejaa wajawazito na vichanga

Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa

Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake zetu wawe na usalama na stara

Wamama wanatembea uchi kwenye ka wodi, yaani hamna stara

Labor room mtu anasukuma au anaugulia uchungu kila mtu anasukia kama analia au alikunya kila mtu anajua

Serikali imeamua kuwadhalilisha wanawake

Serikali kuweni tu wawazi na waungwana kama sera ya kujifungua Bure haitekelezeki Toka ianzishwe

Mbona wananchi wanalipia huduma zingine zinazotolewa na Serikali Bure kama umeme na maji na wamezoea wala hawalalamiki

Mtu unamwaminisha kujifungua ni Bure ila gharama zinamtoka na usalama wake na mtoto unakuwa mdogo
Duh kumbe huwa wanakunya pia!
 
Nenda hospital yoyote ya serikali iliyo karibu nawe ujionee hali
Sio hospitali zote zipo hivyo. Hospitali ya mkoa Njombe inaitwa Kibena jamani huduma zao kwa wajawazito na waliojifungua ni bora mno huwezi tofautisha na private hospital.

Nimesema hivyo sababu nilijiandaa kukutana na mabaya yote nikakutana na experience nzuri kuliko mategemeo. Ni kweli usemayo yanaweza kuwepo ila sio hospitali zote za serikali.
 
Habari za Njombe
 
Hongera kwa kushare good experience pia maana watu huwa wana share negative side tu.
 
Back
Top Bottom