Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,736
Binafsi nikiona janamke limelewa huwa nadharau sana........
Kwa kuwa ina lebo kuwa itumiwe na wanaume tu???
pesa tunatafuta jion haoooo juu ya stuli ndefu...hatudaiwi
Binafsi nikiona janamke limelewa huwa nadharau sana........
Hebu jaribu tuone........hahaha ukishapiga za kutosha nikiamua nguvu ya kujitetea utakuwa nayo kweli
Kwa kuwa ina lebo kuwa itumiwe na wanaume tu???
pesa tunatafuta jion haoooo juu ya stuli ndefu...hatudaiwi
nitafutiwe kwa kuwa mi sijiwezi au...wewe pesa unatafuta au una taftiwa?
Hata kama una jiweza na hela unazo,ukienda bar huwezi kutoa hela yako utaviZia ununuliwe tu na njemba yako.nitafutiwe kwa kuwa mi sijiwezi au...
Hata kama una jiweza na hela unazo,ukienda bar huwezi kutoa hela yako utaviZia ununuliwe tu na njemba yako.
Quote sio kuongea kiuoga uoga ka unaoga nje...Sasa kama uwezo unao yanini wewe
Kuombaomba
Kama umezowea
Wacha tabia
Mbaya hio usiwe
Kupe jitegemee
lara 1 amarula inaongeza nguvu za kukimbia umbali mrefu ...lolWapiiiiiii? Wengine SAFARI LARGER zinakimbilia danta vile vile! Hahaaaa! Yale yale Amarula inaongeza nguvu za kike! Hahaaaa! Sasa sijui nguvu za nini!
Mim mwanaume ambae hanywi hta kdg,aiseee sina hta mzuka nae,na hta simpendi
Tatizo lipo wapi?
Lara 1, my type kitu kichangamuke. And you easly know tabia ya mtu. Asiye kunywa kwa jinsia zote wanakua waongowaongo na wanafiki wakubwa mno
Namtafuta mwanamke wa hivyo huwa naenjoy sana kwenda kunywa na beibe kwanza ananiepusha na vishawishi vya bar madHaipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.
Kwa kweli nikishaona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikuwa nina mpango nae for sure namtema mazima.
kama ni hivyo si bora uchukue baa medi kabisa.!Namtafuta mwanamke wa hivyo huwa naenjoy sana kwenda kunywa na beibe kwanza ananiepusha na vishawishi vya bar mad
waiter......
nileteee safari baridi haraka sana
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.
Kwa kweli nikishaona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikuwa nina mpango nae for sure namtema mazima.