Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

.looh..hiv heshima ya mtu inakuja kwenye pombe eehhh!!!so wanaume wanaokunywa tuanze kuwazalau sio!! na inamana watu wote waliokosa adabu wanakunywa pombe...ACHA MAWAZO MGANDO YA KUKALILI...pombe ni starehe tu kama unapokunywa soda.....bt ni vyema kusema what u feel....
 
Nisa sahihi kabisa depretty, wapo wengi Wenye matatizo ht pombe hawatumii. Mara nyingi watu wanakariri maisha.
 
Kuna demu aliniacha mdomo wazi....ukimcheki yupo very classic nkamuuliza siku umeamua haswa kunywa mwisho ngapi, akasema sizidishi 9! Nimeshangaa sana, mwanamke hadi bia 9?

Mhhh ngoja nisifunguke maana kama washangaa 9... Ila mkuu ujue ni ndogo mfano mmeenda music kuanzia saa 6-10 usiku tuseme lisaa bia 3... Unafikisha bia zaid ya 9 na kupitiliza muhimu kujihandle tu mradi simpi shida mtu kunibeba, sipigani, narudi kwangu siishii kuwa a booty call aaaaah kwa raha zangu wapii Reds!!!!😂😂😂
 
Walevi tutawaona hapa.
Ila mwanamke mlevi kuna kugongewa live.
Na hawa dada zetu huku chuo amna kitu wanaacha kuanzia.Baileys cjui mpka madudu gani.
Na fegi juu.
Sheesha ni justifiable kidogo,in.my opinion.
Ila all in all,uzungu unazidi siku hizi.
 
Ila tuseme ukweli, demu anaekunywa pombe akishatupia wengine wanakuwa na nyege kweli, ni rahisi kupiga. Hata kama ni mke wa mtu
 
Natamani kuchangia lakini ngoja niache tu maana hii mada hii Asprin amenielewa
 
Last edited by a moderator:
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.

Kwa kweli nikishaona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikuwa nina mpango nae for sure namtema mazima.

mawazo yako hayajaenda mbali sana na jina lako!
 
Bado nauliza, kwanini mtu akiwa anafanya jambo baya, ukimwambia lazima atakwambia kuwa maisha mafupi?
Nijuavyo mimi Mungu ndio anajua lini mwisho wetu unafika.
Pia kama wanadamu lazima tutambue kuwa kuna alie tuumba, alituumba ili tumuabudu, hatuwezi mwabudu kama twafanya yale yasiyo mpendeza
 
ni kweli kabisa .. kuna siku nilishindwa pata stimu ya mapenzi pale nlipo jaribu kula denda afu nakutana na radha ya pombe mdomoni kitu kikashindwa endelea niaahirisha mpira
 
Inategemea anakunywa kilaji gani.Kama kitu cha wine mbona hakuna mbaya...ila ukikutana na mrembo anapiga viroba au safari hapo kweli anakuwa anapoteza mvuto!!
 
Koooooooooh! *Nasafisha koo tu jamani*

There aint a SEXY sight as a woman with a glass of wine, shots, liquor, beer et al! Inakuhabarisha tu TONIGHT WE ARE GETTIN NASTY! No pillow will be left untouched! Ukikaka na demu hanywi anakuwa such a TIGHT A.SS mpaka kero! Will tuondoke! Wille mda bwana! Wille fyoko fyoko! Hadi wadau tunasema Wille tutolee kiwingu, STIMU ZIMELIPIWA HIZI, TUSIKATANE STIMU KIREJAREJA!

Kuna kazi zile za kiutu uzima huwezi kuzifanya sobber kama mwanamke! Mfano wanaume wavivu unakuta hajanyoa miezi, na ile mizivu imechachamaaa! EEEEEWWWWWW! Yaaaaaaakh! Gorrila si gorrila, zinjanthropus si zinjanthropas, haeleweki mtu au mzimu! Paja zote zimejaa kichaka! Afu uwe sobber! HHAHAAAAAAA! Its not a laughing matter! Yaani unaweza hisi unalala na Zinjanthropus! Hahahaaaa! Ila ukiwa ndani ya shots zako za kutosha za Taquilla! UNSEREREKA TU! Anajisemesha ujue sijashae mda, sikujua tutafikia hapa! Vyombo vipo kichwani moja haikai mbili haisimami Unaweza piga baby you is so so sexy! I Yaani vimalaika hivo ndo unasema mazivu! Hahahaaaaaa! Kuna kazi zingine watu wazima kina Maddame B mnanielewa haziendi ukiwa sobber!

Plus mwanaume asiekunywa simtki! Anafanya kazi kama analimaaaa!!!!! Akhaaaaaa! Na hivi yuko sobber akikuona unasikizia utamu hulalamiki anasimamia baiskeli, Mmmmmmmmh! Akhaaaaaaa! Usipomfanyia kitu ANADAI KABISAAA! Kumbe ulikuwa unakikwepesha! Utasikia "mbona ulimi haufiki hilo eneo flan? Afu anzuga please baby, please nifanyie, pleaseee!" Pakutokea hunaaaa ndo inabidi ufikishe ulimi utafanyaje!! Hahahaaaa! Ila mlevi unaamua leokwa kosa la juzi hiki sifanyi, hiki sifanyi, kwa raha zako! Jamani wanaume sobber hapana aiseee!


hahahahaaahaaaaaaaaaa.....Sikutegemea kucheka siku ya leo duuh. thanks Lara uv made my day..
 
Hata men lazma uhang on na tung kwanza ndio steam za game zinapanda,

unapga pas moja ya kibabe ful kumjojolesha then mornie unamka na BBC
 
Back
Top Bottom