Wanawake wanao "act kama masela"

Usishangae Mkuu. .Hao huwa wana jinsia mbili. Au kwa lugha nyengine ni Vidumedume.
 
Sielewi unamaanisha nini, waache au wawe kama wanawake wenye hiba na huba za kike?kuna wanaume wanapenda sana matom boy wa hivo

mbona kuna wanaume wanapenda mashoga pia!msichana abehave kisichana same as to men!....siyo kwakuwa una nywele kipilipili,shape mbovu na hupendezi na pamba ndo ujifanye dume!
 
uporoto wanaovaa kikekike si ndo hao wameamua kujiita masharobaro?mtoto wa kiume anavaa jeans ya kike halafu anasema model.anambania nan mapaja?kina dada wanabana kuonyesha ngong'ingo'mwanaume je?nyambafu zao masharobaro wote hasa dar imezid
 
demu mkali hawezi kuact usela!mademu wanaoact usela na wale watengwa!
<br />
<br />
we ebu acha kutuzingua kuna mademu kibao tu wakali alafu ni masela vilevile ebu njoo kitaani kwetu nkoonyeshe pini kma tatu hivi mwenyewe utakubali.
 
Sipendi demu lainilaini, napenda demu ambaye yupo kisela. Binafsi naamini demu akiwa kisela anakuwa open zaidi, lakini hawa wa mapozi ya kike mara nyingi anakuwa mvumilivu tu...kiasi hata kama umemkera anakuwa hakuambii.
Lakini usela kupitiliza pia sio mzuri, sipendi mwanamke anaevuta sigara, kunywa mipombe, na kula mirungi, hana utambuzi wa mazingira (general awareness knowledge), shule ipo ndogo...binafsi hao nawaona ni mzigo kwenye serious relationship.
 
Binafsi navutiwa nao sana! Hasa uwezo wao wa kujieleza na kujadiliana. Na hasa huwa wanaepuka sana kuwa tegemezi, ni wawazi japo si wote.
 
Potezea jamaa yangu huoni wanawake wababe walivyokushupalia. Achana nao tujadili mambo ya msingi. Wao chipsi mayai, baloon na nyumba nzuri saluni kwa sana maisha wamefika. Hawawazi hata siku moja kuendeleza Tanzania kama wakiumeni
 
Umenikumbusha mdada mmoja msela msela, nilipiga naye stori baadae akakaa mkao fulani baaadaaaeee nikasikia harufu fulani nzito ya chooni kwa lugha lingine alichomoa gesi ya songo songo, lol kila nikimwona aiseee
 
Umenikumbusha mdada mmoja msela msela, nilipiga naye stori baadae akakaa mkao fulani baaadaaaeee nikasikia harufu fulani nzito ya chooni kwa lugha lingine alichomoa gesi ya songo songo, lol kila nikimwona aiseee

hahahaaaa mkuuu
 
Umezaliwa miaka mia ngapi nyumba.......hao wana identity yao pekee. Si wanawake kama uanavyo.
 
Back
Top Bottom