Wanawake wananuka shida siku hizi

Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Kuwa serious na mambo ya msingi yanayohusu pesa. Mshauri atumie pesa yake kuimarisha afya, kupendeza, na kujiendeleza kiujuzi na sio kupoteza ili apate utelezi.
 
Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Uongo . Watu tunaoweza kuhonga 10M tupo kwe misafara ya Rais, Sasa huyo dada ako tutakutana nae wapi?

Demu yeyote alieolewa anayefika bei ujue ni mdangaji TU
 
Kama ni hivyo utofauti na malaya ni upi?
Malaya anajiuza,ila mwanamke wako unamuhudumia.usipomlea wewe atamlea Nani?au na wewe unataka ulelewe?
Niwashauri tu vijana wenzangu ukiona mapenzi hauyaelewi achana nayo fanya vitu vingine hakuna mwanamke wa BURE huo ndo ukweli.mnatakiwa mkue na muache kulia Lia kuwa wanawake wanapenda pesa.
 
Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Weweee utaliwa vibayaa ujuee
 
Ukiona mwanamke anakuomba tu na wewe tamaa yako ni kumuweka, tengeneza mazingira umpe anachotaka, lazima ataingia kwenye line, ukishamuweka achana nae. Kama mtu anatengeneza mazingira ya kutaka pesa, ananuka shida kila siku, na wewe uchumi wako hauruhusu usimpe nafasi coz atakuletea matatizo.
 
Ujengewe sanamu
 
Yaan sahv kuomba namba ni mpaka demu nimuelewe sana bila hivyo hapana najituliza ni heri kwenda bar
 
Yaan sahv kuomba namba ni mpaka demu nimuelewe sana bila hivyo hapana najituliza ni heri kwenda bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…