prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
Kwan hizi akili zako ata maandamano utayaweza kweli
Kwa uandishi wa aina hii,utaanza kugeuzwa hivi karibuni tu.Nikiwek misimamo wanakuj mpka getoni sichomok nafs yangu inajut
Wanawake wananitumia kisha wanaondoka kwa kweri roho yangu inauma nishalala na wanawake 18🥺🥺🥺 Nina miaka 24
Mara nyingi wanajilahisisha wakitak kuzaa na Mimi
Najichukia sana 😭 nimepoteza mda na rasilimali ningekua mbali kimaisha
Wakinifata nashindwa kukataa
Wadada wamenihalibia maisha
Nina kazi nzuri Maendeleo 0😭
Alafu kuwa makini hii id ni ya haszuUna hesabu ya uliolala nao mpaka sasa? Hakika inakupasa uachane na uzinzi kijana.
Mi nakutak wewNa wataendelea kukutumia hadi siku ukijua matumizi sahihi ya L na R
Hawajirahisishi, unawaendekeza. Ingekuwa wanajirahisisha wasingetumia rasilimali zako. Unaelewa maana ya kujirahisisha?nimepoteza mda na rasilimali ningekua mbali kimaisha
Jamaniiii!!Unamcheka mtoto wa mwanamke mwenzio!😂
18 ni wachache sana.Wanawake wananitumia kisha wanaondoka kwa kweli roho yangu inauma nishalala na wanawake 18🥺🥺🥺 Nina miaka 24
Mara nyingi wanajirahisisha wakitak kuzaa na Mimi
Najichukia sana 😭 nimepoteza mda na rasilimali ningekua mbali kimaisha
Wakinifata nashindwa kukataa
Wadada wameniharibia maisha
Nina kazi nzuri Maendeleo 0😭
😂😂😂 haszu mwanao wa ukweliAlafu kuwa makini hii id ni ya haszu