Wanawake wanamidomo michafu sana

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
924
1,000
Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu.
Maneno yatokayo kwenye vinywa vyao hayafahi kunukuliwa,ni matusi makali ambapo ukitupiwa moja tu unaweza kujikuta upo kwenye wodi za agakhan bila kujitambua
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,511
2,000

Aisee ebu tutajie uliyotukananwa maake huu ugomvi wa kimahusiano hasa akiwa anataka kukuacha lazima akutafute na utafutike kweli Pole
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,796
2,000
Pole Sana. Nakubaliana na Wewe kabisa. Wanawake tuna midomo michafu Kweli, Mbaya zaidi Kuna matusi ya kisiasa ambayo usipoyang'amua unaweza kudhani umesifiwa Kumbe umetukanwa big time!

Sasa ndio maana Bible inasema uishi na mwanamke kwa akili. Usipotumia akili inakula kwako mazima.
 
scalethat

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
1,041
2,000
Mbona umegeneralize??
Sio wote wana maneno hayo au mda huo.mi mda wa kumtukana mtu mzima na timamu zake nautolea wapi!?
Kuna wanawake wanajua kusave energy zao kufanyia mambo mengine.
Na pia wanaogopa kuonekana wendawazimu
 
Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
493
1,000
Mi hata cjui aiseee make hakuna aliewahi kunitukana usoni mwangu cjui nna nn wananiheshimu sana na kuniogopa kmtndo na pia hua cjengi mazoea nao hence cna rekodi za kutibuana nao...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom