Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Mmmh!!! Mweeee!!
Duh......Tissue hutumika kusafisha pia maungo yao hasa wamalizapo kukojoa, lakin pia tssue ukiiweka kwenye cocacola unalewa vizuri
najua tishu inatumika kusafisha chupa au glass,lakini naona wadada hapa kila wakati tishu,tishu,tishu,nanunua tishu mpaka nataka kukatika mtaji,huwa wanazitaka za nini? au wana nia ya kunikomoa nikatike mtaji?
nilijaribu,Ila akiingia toilet anaichukua toilet paper yote hata kama ni mpya,baadae zinaanza kelele kwamba toilet hakuna toilet paper
najua tishu inatumika kusafisha chupa au glass,lakini naona wadada hapa kila wakati tishu,tishu,tishu,nanunua tishu mpaka nataka kukatika mtaji,huwa wanazitaka za nini? au wana nia ya kunikomoa nikatike mtaji?
najua tishu inatumika kusafisha chupa au glass,lakini naona wadada hapa kila wakati tishu,tishu,tishu,nanunua tishu mpaka nataka kukatika mtaji,huwa wanazitaka za nini? au wana nia ya kunikomoa nikatike mtaji?
mkuu mtoto hawezi miliki bar....jiheshimu