Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 756
- 810
Katiba ikiwa bora wanawake na wanaume watakua bora tuombe katiba mpya kwanza mengne ni matokeo ya katiba nzee na ilipitwa mda
Ha haaa eti kaweka kabisa Eliya 4:1....nchi ngumu Sana hiiKitabu cha nabii Eliya 🙄
Acha kutulisha matango pori bwashee, hakuna kitabu hicho.
Ndiyo mimi sivipendiKwamba nilivyovitaja hauvipendi mtt mzuri
Na wengine kuwa mama marehemu! (Wanaotoa mimba)Wapo wanawake walio serious kukubali lakini tatizo linaanzia kwetu sisi Wanaume kwa kuwapa ahadi za michongo...
Tukishakubaliwa na kupewa Papuchi tunawaacha njia panda na kusepa.
Ndio chanzo cha Wao kuwa wengi wasioolewa na tayari wameshazalishwa.
Hana kitu mkuu..ni ile mimama yenye njaa kali....Mkuu ilo limama kama lina hela nipe contacts zake.. mtaani hali sio shwari
Safi sana uzuri mie vyote sina hivyo nafikiri tuta make couple ya mfano 😍Ndiyo mimi sivipendi
Na kuna watu wameukubali huo uongo wake!Ha haaa eti kaweka kabisa Eliya 4:1....nchi ngumu Sana hii
Umenena mkuu....spika wa bunge apitishe huu mswada.
Hahaa kuna ticha mwenzangu yuko moshi alipataga demu ni dr kcmc ila siku demu alipokuja kugundua jamaa ni ticha alichukia na ukawa ndio mwisho wao, madem wanavigezo chungu mbovu ila umri ukienda kisingizio kikubwa eti wao ni wengi ndio maana hawaolewi wakati takwimu za kidunia zinaonyesha wanaume 50.4% na wanawake 49.6%Sio wanakataa, wanawake wanataka uwe na viashiria vya kuwa na hela [emoji23][emoji23][emoji23] umiliki iphone macho matatu hivi. Ka Crown kidogo na geto kali lenye 65inch hisense na sound ya maana. Bila kusahau kuwa mtu wa kutupia pamba
Hahaaa itachukua miaka mingi maana mpaka sasa takwimu za dunia wanaume 50.4 % na wanawake 49.6%Sijui hao wanawake saba kutung'ang'ania wataanza lini
Ni kweli kabisa lakini nao wasipoolewa watoe sababu kama hizi kua wanaume wanaowavutia hawajabahatika kuwapata na wasitoe visingizio eti wanawake wako wengi sanaWanawake wanaheshimu Sana hisia zao,
Kama hajavutiwa na wewe, Hana hisia na wewe, atakutolea nje live Bila kupepesa.
Hususani hiki kigezo cha urefu kinawachelewesha wadada wengi kuolewa, utaskia mfupi ni mpeleke wapi na wafupi ndio wamejaaUkiangalia mawazo ya wanawake wengi kwenye vigezo vya mwanaume wanaemtaka kimapenzi utacheka, totally unrealistic standards.