Wanawake Wanakula Sana Mihogo

Wanawake Wanakula Sana Mihogo

Kwa takribani miezi minne mfululizo MCHUNGUZI HURU nimekuwa nikifanya uchunguzi wa walaji wakubwa wa mihogo jijini Dar es Salaam.

Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa ya walaji wa mihogo jijini Dar es Salaam ni wanawake.

Wanawake wanaongoza kwa kula mihogo ni wale waajiriwa wa maofisini, wanawake hao hununua mihogo hiyo pale wanapoenda ofisini na kuweka ndani ya mikoba yao ili kwenda kula wakifika ofisini.

Ukipita maeneo ya wauza mihogo asubuhi utakuta wanawake wenGne wapo kwenye magari yao wanasubiri wapewe mihogo wabebe waende nayo ofisini kunywa chai.

Wapo wanaoona aibu kununua mihogo kwasababu zao, wanawake hao wakifika ofisini huwaagiza wafanya usafi katika ofisi zao waende kuwaletea mihogo.

Wanawake wafanyabiashara hawanunui sana mihogo, wanunuaji wakubwa ni waajiriwa wakifuatiwa na wanawake wanaoshinda nyumbani.

Hata hivyo MCHUNGUZI HURU ninawaasa endeleeni kula mihogo bila uoga kwani ina wanga nyingi ambayo husaidia kuupa mwili nguvu.

WANAWAKE WA DAR WANAKULA SANA MIHOGO.

Wameshazoea Kuila, Kuikalia, Kuikeshea, Kuikatikia, Kuilambalamba Na Hata Kuinyonya Hivyo Ni Haki Yao Kuipenda....!!!!!
 
Leo nilikunywa chai na mihogo,sijui itaniongezea wazungu ImageUploadedByJamiiForums1403559074.525695.jpg


Just like the old days
 
Wengine wanapigana kwa sababu ya muhogoo.

Na nguo wakachaniana kwa sababu ya muhogooo. Oooh, we dada kula muhogo utauona utauona utamu wakeee, kula muhogo utaijua na ladha yakeeee......

Mmmmh


Just like the old days
 
Back
Top Bottom