nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Hizi defamation juu ya wanawake zimezidi sasa.
kweli kabisa, nawashauli pia kuwaasa wanaume zako kula mihogo kwa wingi. unapunguza tatizo la nguvu za kiume..
Kwa takribani miezi minne mfululizo MCHUNGUZI HURU nimekuwa nikifanya uchunguzi wa walaji wakubwa wa mihogo jijini Dar es Salaam.
Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa ya walaji wa mihogo jijini Dar es Salaam ni wanawake.
Wanawake wanaongoza kwa kula mihogo ni wale waajiriwa wa maofisini, wanawake hao hununua mihogo hiyo pale wanapoenda ofisini na kuweka ndani ya mikoba yao ili kwenda kula wakifika ofisini.
Ukipita maeneo ya wauza mihogo asubuhi utakuta wanawake wenGne wapo kwenye magari yao wanasubiri wapewe mihogo wabebe waende nayo ofisini kunywa chai.
Wapo wanaoona aibu kununua mihogo kwasababu zao, wanawake hao wakifika ofisini huwaagiza wafanya usafi katika ofisi zao waende kuwaletea mihogo.
Wanawake wafanyabiashara hawanunui sana mihogo, wanunuaji wakubwa ni waajiriwa wakifuatiwa na wanawake wanaoshinda nyumbani.
Hata hivyo MCHUNGUZI HURU ninawaasa endeleeni kula mihogo bila uoga kwani ina wanga nyingi ambayo husaidia kuupa mwili nguvu.
WANAWAKE WA DAR WANAKULA SANA MIHOGO.
..niliambiwa na mtu Fulani Eti wadada nao wanakuwa na upungufu wa nguvu za kike...nao wanakula mihogo mibichi kama sisi..!!
mmh na wewe un kulaga
lazma ni upungufu??
Ewe dada kula muhogo utauona utamu wake eeeh kula muhogo....
naimba tu!!!
Acha tujilie mihogo tupate wanga....Wengine wanapigana kwa sababu ya muhogoo.
Na nguo wakachaniana kwa sababu ya muhogooo. Oooh, we dada kula muhogo utauona utauona utamu wakeee, kula muhogo utaijua na ladha yakeeee......
Mihogo ni mitamu sana
Acha tujilie mihogo tupate wanga....