Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Ndio uelewe mantiki, mada ngapi humu zinazungumzia mwanaume asiye na pesa, reply ngapi humu za wanawake wakina toyeye wanawakandika wanaume wasio na pesa, so haya mambo kwa zamu ikifika zama ya kukandiwa mwanamke single mother, asiye na tako, mnuka k nk pia ukae kimya.

Jua point to attack and point to defend

mwanaume ni financial Being kama hana pesa lazima maisha ayaone machungu pamoja na kusemwa dume suluari nk

Mwanamke ni Biological Being akishuka kibailohia kama umri kwenda ajaolewa lazima dunia aione chungu pamoja na kusemwa msimbe nk

Nachoshangaa wewe unasimama upande wa wanawake na ni mwanaume ikifika muda wa kuitwa dume suluari hakuna mwanamke atasimama na wewe
Hii ni kweli kabisa mwamba anatuangusha sana aisee.
 
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni sababu kadhaa zinazosababisha wadada kuto kuolewa mapema:-

KURINGA
Hapa unapata boy anamtafuta binti lkni binti anaaleta machejo, anamtumia text haujibu Whatsapp Ana blue tick anakausha, Yani namba Yako anakuwa kaisev kuongeza Bowers status.

OMBAOMBA
Hii acha niwaelezee kimfano kabisa, hivi karibuni nilikutana na mdada mumoja mkali Sana nikachukuwa namba tukawa tunawasiliana nikatupia ndoano akanasa lkn kabla hatujaonana Mara ya pili ndo kwanza tuna siku tatu tuu eti mdada ananiomba nimkopeshe 10k, niliposema Sina akapotea haujibu text tena Wala kupokea simu. Baada Kama ya siku tatu Nika deshi nataka namba ya kumtumia akajibu nilipiga chini sikuwa na msalie mtume.

Embu eleza na ww sababuunazo zijuwa zinazofanya wadada wachelewe kuolewa pindi ukisoma thread hii, nikisema nizimalize zote ntakuwa sijafanya powa elezea kinaga ubaga ili tusaidie wadada wetu mitaani. Maana unakuta mdada was 1995 hajaolewa mtoto wa 2000 kaolewa ni aibu na lazima spare stress.
Kwan ndoa lazima? Huko kwenye ndoa wanagawa mishahara au... Uolewe ukapike, ufue ,Bado uwe na akili za kushauri Ili mfike mbali, uvumilie manyanyaso ,usaliti ,uzae, ulee.. kwa mahari ya milioni mbili na nusu..... Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu SIO LAZIMA KUOLEWA
 
eti mdada ananiomba nimkopeshe 10k, niliposema Sina akapotea haujibu text tena Wala kupokea simu.
upgrade your levels bro. Mwanamke kama una nia nae 10k sio ishu ya kumkazia. Actually ilipasa umpe hiyo pesa, ili awe assured kua ana mwanaume ambae anaweza kumjali anapokua amekwama. Labda kama angeomba milioni au malaki kadhaa ndio ungemkaushia. Lakini 10k!!! Dah! Jitafute bro.

Then, jenga desturi ya kumhudumia mwanamke wako kutokana na mahitaji yake ya muhimu bila yeye kukuomba, cha msingi usivuke kiwango. Baada ya hapo anza kumbania sasa, ili ajue kuna kupata na kukosa huku ukiwa unatest uvumilivu wake.

Unaweza kujikuta unakosa 'wife material' kwa vitu vidogo mno. Kumbuka kizazi chetu ni tofauti na wazee wetu. Tupo katika totally a very different generation with different priorities!!!
 
Hebu acheni watu waishi maisha yao.....kuolewa kuolewa, kuolewa kwenyewe nini sasa??? Kuosha vyombo, kupikia watu, kufua na kugombana na ndugu??? Hebu huko....
Ni maneno tu hayo
Actually hakuna Mwanamke asiyependa KUOLEWA
Ishu ni kuwa nitaolewa na nani
mana mana 90% wote ambao napata bahati kuwa nao katika uhusiano doest meat minimum requirements nazotoka
This inincompatibility issues inawatesa sana nyinyi mnaokimbilia 30s

Kwa sasa market value ni vitoto vya 2003 2004
Hata vitoto vya 2000 now vishakuwa used
Sembuse nyie wa ealy 90s na mid 80s
Mtasugua GAGA sana tu si mlikuwa mnalinga wakati wenu

Umri sahihi wa kuolewa mwanamke na kuazisha FAMILIA ni kati ya miaka 18 mpk 22 umechelewa sana kwa 7bu za kimasomo basi 25 na hapo tayari ukiwa umeshamtengeneza mume wako tangu ukiwa Age 20 hii ni kwa sababu MUME sahihi kwako lazima awe amekupita kati ya miaka 5 mpk 10(best zaidi 10 kuendela)
Hii itawasaidia wote kudance Tune aina moja so misukosuko mingi ya NDOA mtapambana nayo
Kutokana na ukomavu wa AKILI ya mwanaume
Na mabadiliko ya kimwili kifikra ya mwanamke
7bu 90% wanawake wakishazaa akili HUPEVUKA zaidi sasa ukiwa umezaa katika NDOA na mume akawa anakurutubisha na MANII zake lazima uwe MKE BORA na MAMA BORA kwa watoto wako



What You put inside is what you going to see outside later that damage you do in 20 you are going to see after 35
What goes in your brains in 20 also what you put on your mind and what you think it's is what your determine out come that you're going to have in your life
Because what You read or you fall in love is what your brain going to be focused
So if You focused of something bad like violence KATAA NDOA or bad friendship or unsuccessful love or whatever it's going to bring you down that's is going to make your age very fast
FB_IMG_1694381456035.jpg
 
Back
Top Bottom