Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,656
I liku u....Mkuu sio wote, wengine uongo kwetu mwiko..

ha!ha!haaa!uwongo tabia ya mtu haijalish mwanamke ama mwanaume!!!
I aint LOW Doc. Mwili unatoka wapi kwenye hiyo phrase yangu. Take it as it is. Dont insinuate things....yaani kwa kuwa kuna wanaume wanafanya na wewe unafanya....ni mwili wao au wakwako...nakuonaga sikujua kama upo LOW kiasi hicho
...yaani I mean according to ur comment kama mwanaume aki-cheat na wewe una cheat...sasa ndo nakuuliza hapo utakua unamuumiza yeye au unajiumiza wewe...because its ur body...au...mimi nafikiri kama mtu akikucheat wewe unafanya strategy za ku-angalia ustarabu mwingine....Mtazamo tuI aint LOW Doc. Mwili unatoka wapi kwenye hiyo phrase yangu. Take it as it is. Dont insinuate things
Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha.
Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance.
Nikastuka hivi, aliponiona nikamuona kajisikia hana amani nikahisi atakuwa labda alimdanganya rafiki yangu. Akaninulia kinywaji nikakireject.
Kijana aliyekuwa naye akawa ananiangalia sana huku akiwa confused.
Kwa masikio yangu nikamsikia shemu akimwambia kwamba mimi ni kaka yake mkubwa.
Jana asubuhi shemu akanipigia simu na kujichekelesha. Ohh yule ni binamu yangu, please usimwambie jamaa coz ataniua kwa vile nilimdanganya nipo kwa shangazi sitokuwa nyumbani. kwamtoro please I love your friend so deeply yaani.
Nilichoka!
Na hasa nikikumbuka uwongo mwingine wa wanawake, nikaamini kweli wanawake waongo sana.
Growing up my stance on such things was to cheat if a man cheats....yaani I mean according to ur comment kama mwanaume aki-cheat na wewe una cheat...sasa ndo nakuuliza hapo utakua unamuumiza yeye au unajiumiza wewe...because its ur body...au...mimi nafikiri kama mtu akikucheat wewe unafanya strategy za ku-angalia ustarabu mwingine....Mtazamo tu
Wanawake wanatuibia sana yani
Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha.
Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance.
Nikastuka hivi, aliponiona nikamuona kajisikia hana amani nikahisi atakuwa labda alimdanganya rafiki yangu. Akaninulia kinywaji nikakireject.
Kijana aliyekuwa naye akawa ananiangalia sana huku akiwa confused.
Kwa masikio yangu nikamsikia shemu akimwambia kwamba mimi ni kaka yake mkubwa.
Jana asubuhi shemu akanipigia simu na kujichekelesha. Ohh yule ni binamu yangu, please usimwambie jamaa coz ataniua kwa vile nilimdanganya nipo kwa shangazi sitokuwa nyumbani. kwamtoro please I love your friend so deeply yaani.
Nilichoka!
Na hasa nikikumbuka uwongo mwingine wa wanawake, nikaamini kweli wanawake waongo sana.
Kwani wanaume ndio wakweli????
Mtupishe hukooo, wakati mnatupanga kama nyanya sokoni mnadhani sie mambulula eeeh???
Na kilichokuja kuongeza zaidi uongo ni hii teknolojia ya simu za mkononi. Mtu anakuwa Kibaha anabanjua amri ya sita ukimpigia anakwambia wana kikao cha ukoo kwa baba mdogo kinondoni!!
Hii lugha kali sana imetumika.
Hapo nadhani ngoma droo, wanaume tupo waongo na wapo wakweli, na wanawake vilevile.