Wanawake wanadanganya jamanii

Wanawake wanadanganya jamanii

Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha.

Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance.

Nikastuka hivi, aliponiona nikamuona kajisikia hana amani nikahisi atakuwa labda alimdanganya rafiki yangu. Akaninulia kinywaji nikakireject.

Kijana aliyekuwa naye akawa ananiangalia sana huku akiwa confused.

Kwa masikio yangu nikamsikia shemu akimwambia kwamba mimi ni kaka yake mkubwa.

Jana asubuhi shemu akanipigia simu na kujichekelesha. Ohh yule ni binamu yangu, please usimwambie jamaa coz ataniua kwa vile nilimdanganya nipo kwa shangazi sitokuwa nyumbani. kwamtoro please I love your friend so deeply yaani.

Nilichoka!

Na hasa nikikumbuka uwongo mwingine wa wanawake, nikaamini kweli wanawake waongo sana.
kweli wanawake 80% ni waongo ila huyo jamaa yako anamtimizia mambo ya faragha au ni kila siku safari nyingi?sometime tunawasingizia wenyewe ni binadam na wana hamu ya hio mambo kama anataka kugegedwa jamaa yupo busy afanyeje sasa hapo ndio kidumu kinatake place
 
Akithubutu tu kumwambia rafiki yake dem atamwambia mshikaji alitaka kumgegeda akamkatalia
ndiyo maana ameamua kumsingizia.
Ili usijiingize kwenye hilo kundi la waongo vunja ukimya liwalo na liwe
 
wakati mwingine mtu unafundishwa tabia na huyo ulienae, mi nilikuwaga sijui kbs kusema uongo! nilikuwa hata sijui kutoa mguu ndani bila kumuaga mume, lkn nikagundua yeye ni muongo kupitiliza, yn ktk sentensi kumi labda 1 ndo kweli..subiri ss nilijifunza uongo!!!!!!! nafikir hata huyo aliyenifundisha nimempita kwa uongo
 
Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha.

Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance.

Nikastuka hivi, aliponiona nikamuona kajisikia hana amani nikahisi atakuwa labda alimdanganya rafiki yangu. Akaninulia kinywaji nikakireject.

Kijana aliyekuwa naye akawa ananiangalia sana huku akiwa confused.

Kwa masikio yangu nikamsikia shemu akimwambia kwamba mimi ni kaka yake mkubwa.

Jana asubuhi shemu akanipigia simu na kujichekelesha. Ohh yule ni binamu yangu, please usimwambie jamaa coz ataniua kwa vile nilimdanganya nipo kwa shangazi sitokuwa nyumbani. kwamtoro please I love your friend so deeply yaani.

Nilichoka!

Na hasa nikikumbuka uwongo mwingine wa wanawake, nikaamini kweli wanawake waongo sana.
hapo inabidi akupe mzigo ili utunze siri
 
chuna tu mkuu haina maana , unaweza kuonekana ----............

umechonga ngenga halafu rafiki yako ndiyo kafika na haelewi somo.
 
Daaah mimi mwenyewe muongo kinoma yaani japo si wa jinsia hiyo ya wanawake, yaani hata hapa tuu nishaongopa tayari daaah huu ni ugonjwa aisee

Jumapili nilienda kiwanja cha mbali na mazingira ninayoishi kujirusha.

Nilipofika mda fulani hivi bila ya kutarajia nikamuona mpenzi wa rafiki yangu na mwanaume mwingine wakiwa kwenye romance.

Nikastuka hivi, aliponiona nikamuona kajisikia hana amani nikahisi atakuwa labda alimdanganya rafiki yangu. Akaninulia kinywaji nikakireject.

Kijana aliyekuwa naye akawa ananiangalia sana huku akiwa confused.

Kwa masikio yangu nikamsikia shemu akimwambia kwamba mimi ni kaka yake mkubwa.

Jana asubuhi shemu akanipigia simu na kujichekelesha. Ohh yule ni binamu yangu, please usimwambie jamaa coz ataniua kwa vile nilimdanganya nipo kwa shangazi sitokuwa nyumbani. kwamtoro please I love your friend so deeply yaani.

Nilichoka!

Na hasa nikikumbuka uwongo mwingine wa wanawake, nikaamini kweli wanawake waongo sana.
 
ningekuwa mimi ningemwambia mshkaji wangu....hakuna kitu nakichukia kama hichi
 
It aint a big deal. What a man can do, a woman can do better.
....yaani kwa kuwa kuna wanaume wanafanya na wewe unafanya....ni mwili wao au wakwako...nakuonaga sikujua kama upo LOW kiasi hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom