Wanawake wanadanganya jamanii

Wanawake wanadanganya jamanii

Hawa ndugu zetu sio wa kuwaamini sana utakuja kujuta. Inabidi umchukulia mwanamke hivyo hivyo tu. Ila kwenye suala hili hakikisha unamwambia mshkaji kuwa demu wake kicheche. Bros before wh0res dude, bros before wh0res.
 
she must have reasons sio bure

C'mon! there is a reason for everything my dear. The question is, is it a credible reason. Kama humpendi kaka wa watu si umuache tu ili ule bata kwa uhuru. Sio unadanganya uko kwa shangazi mpaka ufumwe na best wa jamaa yako ndio unaanza story za "oh i love him". It's like peeing on someone's head and then telling him that it is raining.
 
ningekuwa mimi ningemwambia mshkaji wangu....hakuna kitu nakichukia kama hichi

Hata akiambiwa haitasaidia kitu. Udanganyifu kwenye mahusiano hufanywa na jinsia zote wala siyo wanawake tu. Kikubwa ni kubadili hizo tabia vinginevyo tutakwisha kwa magonjwa ya kuambukizana na yale yanayotokana na Moyo.
 
Wanandoa ndio wanaoongoza kwa Kucheat ktk mahusiano.
Yawezekana hata huyo rafiki yako naye ndio tabia yake hiyo hiyo.So,shemu kaamua kulipiza.Mambo ya ndoa mazito.
 
C'mon! there is a reason for everything my dear. The question is, is it a credible reason. Kama humpendi kaka wa watu si umuache tu ili ule bata kwa uhuru. Sio unadanganya uko kwa shangazi mpaka ufumwe na best wa jamaa yako ndio unaanza story za "oh i love him". It's like peeing on someone's head and then telling him that it is raining.

Take five G.girl.I agree wth U
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom