Wanawake wanacomplicate sana

Wanawake wanacomplicate sana

Bhuahahahahaha duh nimecheka sanaaa asee mtoa mada acha kutufanya maboya asee kwaio ulivyotest kwa kuyanyonya ulipata radha gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha aaaa
 
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa.Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza.

Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto.Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? . "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" Kweli hayatoi?".

Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini.

Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa?

Wanawake acheni hizo!
uko sawa sawa kabisa mkuu wala huna kosa lolote,hebu nitupie namba ya shemeji na mimi ninyonye nione kama imooooooooooooooooo
 
ukome tu kwakweli.... ungenikuta mimi nakamata kojoleo la houseboy ungejisikiaje.
 
Hahahahahahah asee wee jamàa skill zako duh!!
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa.Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza.

Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto.Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? . "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" Kweli hayatoi?".

Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini.

Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa?

Wanawake acheni hizo!
 
ha ha ha ha ha humu ndan kwel kuna wendawazimu daah vitu vyengine acha tucheke tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lengo lilikuwa kumtia nyege mtoto watu, kisha umchalaze bakora
 
Hebu tupia picha jinsi ulivyokuwa unanyonya!!! afu tuangalie namna ya kukusaidia mkuu!!!
 
Back
Top Bottom