Hivi wanaume wenzangu mnawaelewa wanawake kweli? Soma kisa hiki

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Hivi kwanin wanawake sio waelewa.. Embu cheki huu mkasa umetokea asubuhi hapa nyumabani kwangu..

Mke wangu alitoka kaenda sokoni kamuacha mtoto kitandan na mim tukiwa bado tumelala.. Mara mtoto akaamka na kilio juu.. Nimembembeleza ila wapi bas ikabidi nimuite dada wa kazi

Dada wa kaz akam beba mtoto akaenda nae chumban kwake. Mara dakika mbili mtoto halii tena ametulia, ikabidi nitoke niende kungalia mbn mtoto kanyamaza kwa haraka ivyo. Kunanin?

Nikaingia chumba cha dada wa kaz nikakuta dada wa kazi kampa nyonyo mtoto wangu, nikapanik na kumuhoji kwa hasira kwanin anafanya hivyo? dada wa kaz akanijibu kwa upole, matiti yangu hayana kitu nimempa tu mtoto ili anyamaze.

Mhh nikakuna kichwa.. Ikabidi nimsogelee nihakikishe kuwa kwelihayana kitu, akanipa titi la upande wa kulia nikalishika vizuri nikalinyonya kwa dakika mbili kweli nikaona hamna kitu, nikashika lile la kushoto nikanyonya pia kwa dakika 2 kweli halina kitu. Nikabinya binya kidogo na kuyalamba tena kidogo kwa dakika 5 kweli nikajiridhisha hayatoi maziwa.

Kumbe mda huo mke wangu alisharudi yupo kwa mlangoni akiangalia tukio zima. Jaman eti anataka kuondoka na watoto na dada wa kaz.. Sasa dada wa kaz aondoke kwan ugomv una muhusu nini?

Eti jamani kuhakikisha afya ya mtoto ni kisa? Wanawake mlio kwenye ndoa kuweni waelewa basi
 
Nimewaza kijinga jinga kama jamaa hapo juu!!!

Assume wakati huo ndiyo huyu mwanao ameshakuwa mkubwa itokee siku mkeo amuhisi mdogo ako wa kiume au house boy wenu hapo nyumbani alitaka kumbaka ila kijana akakataa madai mnara hausomi sasa ikabidi mkewe ajiridhishe kweli hasimamishi?

Sasa ndo amerudi akakuta mkewe anauchezea kisha akamwambia sababu ya yeye kufanya hivyo jamaa ataelewa?ila hii ni chemsha bongo sidhani kama ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulikuwa umpime na magojwa na kijiti kile🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Haha mkuu wew ni kiboko . Ungetushiriksh cc tukusaidie uchunguzi.
 
Hawa ndo wapiga Kura wa CCM. pole pole anatamba kuwa kuna wapumbavu asilimia 80 ktk Tanzania watawapigia kura CCM na huyu jamaa ni mmojawapo.
Mkuu nitake radhi nitakutukana Mitusi ya nguoni nipigwe ban humu,mm najitambua siwezi kuwapigia kura hao takataka
 
Kiukweli bk3 wanatupa changamotp sana

Na hasa wanavyozid kukaa na wew unazd kuwaona wazurii
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom