mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,582
- 45,190
Sio dongo Sakayo, ujue kuna kitu nimegundua unacho sema labda hujaamua kushare na wanajamii wenzio kwa namna moja ama nyingineHahaha
Hilo dongo sasa
Sio dongo Sakayo, ujue kuna kitu nimegundua unacho sema labda hujaamua kushare na wanajamii wenzio kwa namna moja ama nyingineHahaha
Hilo dongo sasa
Ndio kuna siku unatakiwa upige shoo ya maana, sio eti una muheshimu, what is kumuheshimu, piga shoo ya maana, simamia vidole....Ndio maana linapokuja suala la kutimiza jukumu langu la kindoa huwa sina masikhara hata kidogo- ikiwezekana mishono yote ikae sawasawa.
Sasa unakuta mtu anapiga mtanange wa uhakika nje akija wa ndani analegea kisa anamheshimu mkewe noooooo
Tena vituko siyo vya nchi hii. [emoji1]Duniani kuna vituko[emoji23] [emoji23]
Au wakati mwingine inakuwa nyegge nazo zikikaba sana ni shidaYaonyesha hapo povu lilikuwa juu ya mchepuko....
Kabisa kiongozi....Au wakati mwingine inakuwa nyegge nazo zikikaba sana ni shida
Ni kitu gani hicho Mbalizi!!Sio dongo Sakayo, ujue kuna kitu nimegundua unacho sema labda hujaamua kushare na wanajamii wenzio kwa namna moja ama nyingine
Yaani hizo yy mwenyewe alishazibatiza jina anaziita shoo za msimu, siku hiyo nikimweka kati hadi anatamani asusie mechiNdio kuna siku unatakiwa upige shoo ya maana, sio eti una muheshimu, what is kumuheshimu, piga shoo ya maana, simamia vidole....
Yaap, hizo ndio zenyewe.Yaani hizo yy mwenyewe alishazibatiza jina anaziita shoo za msimu, siku hiyo nikimweka kati hadi anatamani asusie mechi
Unakalia oooh kwa mke heshima - nyoooo, ngoja akakumbane na wa nje huko hawana huruma wanamfumua hadi atapike
Wanaume hatupaswi kujisahau kiasi hichoYaap, hizo ndio zenyewe.
Wacha jamaa wajipigie maana amezembea...
Stay blessed BossKwangu Mimi ili nisikutane na upuuzi ulio mkuta Mkuu, mwanamke had nimkubali bas ujue nimemchunguza na nimegundua ana hofu ya Mungu ya hali ya juu,
Ushauri wangu vijana ukimuona binti usimkurupukie tu ovyo baada tu ya kuvutiwa na muonekano wa nje, hofu ya Mungu pamoja na tabia njema ndiyo vitu vya msingi, ivyo vingine complications,
PointNimejaribu kupitia comments za wachangiaji wengi wanashauri kuacha. Inawezekana wengi ni vijana kula kulala. Mimi niko tofauti kidogo. Ndoa si kitu rahisi kuvunja kama mnavyofikiria. Kumbuka watoto wenu. Watafute watu wazima kwanza.
Macho kama bilinganya[emoji15] [emoji102]
Tena PUNDA MWITUkuna usemi mi nasemaga wanaume sisi ni PUNDA,
Hawajui kuwa kumheshim mke ni pamoja na kumtia kisawasawaNdio maana linapokuja suala la kutimiza jukumu langu la kindoa huwa sina masikhara hata kidogo- ikiwezekana mishono yote ikae sawasawa.
Sasa unakuta mtu anapiga mtanange wa uhakika nje akija wa ndani analegea kisa anamheshimu mkewe noooooo
Yaani kuna wanaume hata tukikaa kupiga mastori unakuta anasema (mimi kwa mke wangu nampiga miti ya kiaina tu kwasababu namheshimu) nabakia-ga nawashangaa sana.Hawajui kuwa kumheshim mke ni pamoja na kumtia kisawasawa