Yaani kuna wanaume hata tukikaa kupiga mastori unakuta anasema (mimi kwa mke wangu nampiga miti ya kiaina tu kwasababu namheshimu) nabakia-ga nawashangaa sana.
Nyumbani ndio mahali sahihi pa kuatamia, kujali, kithamini, kuheshimu, na kila aina ya kupenda. Nampelekea likamba hadi anasema asante baabaaaangu weeee unajua kunikuna, unajua kunifikisha, unajua kunijali, unajua kunipenda.
Ni muhimu sana angalau kwa kila mwezi unampa mtanange wa zile shoo mwenyewe anaziita adimu walau mara tano au sita ukiachilia mbali zile za kawaida kawaida. Moja ya heshima kwa ndoa ni pamoja na kupigana miti ya haja hadi kila mmojawenu anamkubali mwenzie