kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,630
- 19,019
mimi sio mkamilifu kabisa.....Hakuna mkamilifu hata mmoja. Pia tukisema hatuna dhambi tunajidang'anya na wala kweli haipo mioyoni mwetu. Je jiulize ww u mkamilifu? Hujawai kuzini nje ya ndoa! Tafakari!