Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

Wanawake wanachangia sana ndoa kuvunjika

Unalalama wakati teni eazi ni nyingi mno na wewe ushazeeka kibofu chako kime-expire lazima akatunukie nje. [emoji23] [emoji1] safari tena mkuu.
 
Mimi ndugu Magoya2000, tusiwalaumu moja kwa moja hawa wake zetu, mara nyingi sisi waume zao tunajisahau sana pia...
Je wewe unapig game kama miaka 10 iliyopita?
Kwanini hufanyi utundu uliokuwa unamfanyia kipindi cha ujana wenu....?
Tujiulize kwa hili....
 
Wewe bhana, huyo keshakutoa moyoni, wewe Demu analala na Mwanaume mwingine halafu bado unauliza ushauri? Hana emotional attachement na wewe bali yuko kwingine, achana naye kwani huwezi kumfanya akupende kama keshashiti hata ufanyeje!
Tatizo wajua sisi hatupigi tena kisela kama zamani kabla ya ndoa....
 
Usishangae bhana, sasa 10 years mke anaona dyudyu hilo hilo jeusi kidogo chepesi, wakati huku nje anaona muhogo mweupe mnene. [emoji87] [emoji377]
Hahahahaaaa

Kwahiyo akaamua akapate ladha za tofauti au sio!
 
Tatizo wajua sisi hatupigi tena kisela kama zamani kabla ya ndoa....
Ndio maana linapokuja suala la kutimiza jukumu langu la kindoa huwa sina masikhara hata kidogo- ikiwezekana mishono yote ikae sawasawa.

Sasa unakuta mtu anapiga mtanange wa uhakika nje akija wa ndani analegea kisa anamheshimu mkewe noooooo
 
Back
Top Bottom