Wanawake wanabadilika kila baada ya sekunde nne.

Wanawake wanabadilika kila baada ya sekunde nne.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
Mume: Hello baby!
Mke: Hi swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mznzi sana cjui ilikuaje ukanioa
nakuchukia!
Mume: Ujue niko benki mpnz.... Mke: Haa!
Ulijuaje km cna hela, nitolee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutengea
maji yakuoga sweety.
Ucsahau na chips kuku mmwaaaa!
Mume: Dah, ni benki ya kuchangia damu
Mke: Nyoooo!
 
Haahaaahahaaaaa! Bujibuji bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dah, umenifanya nicheke kwa sauti
 
Nikiwa kwenye daladala huwa sisomi jokes za jf as sometimes I loose control and lough out loud ila leo na hii post nimecheka kwa sauti bila kutegemea. hahahaaaaaa!
 
mie naumbukaga mbele ya bosi...acha kabisa!!!


Nikiwa kwenye daladala huwa sisomi jokes za jf as sometimes I loose control and lough out loud ila leo na hii post nimecheka kwa sauti bila kutegemea. hahahaaaaaa!
 
Hahahaahahahah! Duh! kwa kweli umenifurahisha sana,
 
umenifurahisha sana na hv nilikuwa na mijistress ya ofisi na mpenzi nimejikuta napata ahueni ndani ya nafsi yangu.
 
hahahahaaa,jaman
Bujibuji acha kutuonea!!!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji hapo kwenye nyooo angesema "usirudi, kaa huko huko" afu unakamatia miller zako za kutosha akija mambo yawe fresh..............
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom