kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 177
Women are your mothers, why are you insulting your own mother?
huyu jamaa kweli amekosa jipya..
for sure ma friend you wer grown in the bottle....
au labda wazazi wako wote ni wanaume!??
Nimeipenda iyo ila hawa watu ni noma coz mimi nililelewa na mama wa kambo aisee nilikua napata mkong'oto kila siku tena sotimes bila kosa mauulum.Kuna concept ya Kijerumani inasema kwamba ''Ukimuwekea mwanamke kisu kikali na kisu butu halafu ukamuuliza ni kipi angetumia kumchoma mtu anayemchukia atachagua butu ili amtese,wakati mwanaume angechagua kikali ili amalize hasira haraka''.
Gross oversimplifications are becoming the norm rather than the exception here.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Kazi kweli kweli! Unamaanisha nini hapa mkuu Kiranga?
Ukimzaa mwanao ndo umchukie na kumfanyizia mtoto wa kambo?
Usitake kuleta hapa guilty concious eti mama alikuzaa.
Ukweli bado unabaki.
Roho mmmbayyyyya!
Tena kama nyie mlioenda enda shule ndo mna roho mbaya sana. Mnajifanya hamu entertain mambo ya extended family. Hivi unafikiri ulivyonikuta mimi nina kagari na kaofisi unadhani nilidondoka toka mbinguni? leo hutaki kaka zangu wala nani
Women are your mothers, why are you insulting your own mother?
Sio kwa wote!
Kila kitu kinakuwa generalized mpaka inakuwa ni kama kawaida tu. Not even a hint of qualification. Hakuna hata mtu anayeona generalization hii kama tatizo.
Wanawake wana roho mbaya, Mama Theresa alikuwa mwanamke, naye alikuwa na roho mbaya?
Halafu mtu akisema "Waafrika wananuka" tutashangaa na kukasirika?
Wanawake wana roho mbaya sana kwa sababu roho mbaya inatokana na estrogen au vipi?
Nimekupata kwa mbali kidogo!
wa aina hiyo wapo ila na wema pia wapo. Mie nilikuwa sijui kama kuna watoto pale kwetu nime-share nao baba, kaka zangu wawili. Nimekuja kujua nikiwa mkubwa nimeshaanza na shule. Mama hakufanya tujione tofauti. Pia mie nimekuwa na mdogo wake, alikuwa anatufanyia kila kitu sawa hadi nguo tulikuwa tunavaa sare, hadi watu wengine walijua mie na mamangu mdogo huyo kuwa ni mapacha. Wabaya wapo na wema wapo. Luv u my mom, na mungu akupe maisha marefu.Nimeipenda iyo ila hawa watu ni noma coz mimi nililelewa na mama wa kambo aisee nilikua napata mkong'oto kila siku tena sotimes bila kosa mauulum.
Ngabu uko wapi?
Generalization, groupthink, intellectual laziness, misogyny, chauvinism, ignorance.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.