Wanawake wana roho mbaya sana

Afrondezi, utapoteza muda kwa huyo mtu; mke wake amemchanganya so ana faulty generalization kuwa wanawake wote wana roho mbaya. Kwani wanaume wote wana roho nzuri?

Haya bana mi ngoja ni mwache na thread yake.. .... ..... TA
 
hahahahaaaa!!! Eti 'mangese'..........umasikini wa fikra huo!!

si ajabu huko unawaza kumchoma moto mtoto wa mmeo uliyemkuta ulipokuja kuolewa..yaani roho mbaya zenu basi tu,mungu ndiye aliyepanga tuishi na nyie.
 
Nakupitia twende kanisani bibie!

Asante mwaya ngoja nikachukue mokasi zangu shuuuuuu shine..
Na ile gauni yangu ya zambarau mwehh..

We unautinga nini ..? Vaa ile kitenge ya manjano basi ..
 

Hapana! kukaa tumboni miezi 9, kuzaa kwa uchungu, n.k. sio hisani it is a format and there's no option, man!
 
Asante mwaya ngoja nikachukue mokasi zangu shuuuuuu shine..
Na ile gauni yangu ya zambarau mwehh..

We unautinga nini ..? Vaa ile kitenge ya manjano basi ..

Utapendezaje?? Bahati mbaya hiyo ya kitenge siku hizi inanipwaya saana, acha tu nivae ile nguo yangu ya kipaimara!!
 

katika jamii mwanamke ana nafasi zote. Kwa mfano, ni mwenye huruma, mwenye upendo, mwenye msimamo, kiumbe duni, anadharaulika, ni katili n.k. Hivyo tusishangae.
 
Kutenda atende mwanaume akitenda mwanamke basi ANAROHO MBAYA
Huu ni mfumo dume tu unaosumbua hapa.

Mwwanaume akioa na akasema sitaki ndugu wa mwanamke, yeye roho yake nzuri/

N a hoyo kuchukia wanawake ni perception tu iliyo ambatana na malecheuvinism
Wanaume mtaacha lini unyanyasaji kwa wanawake?

Mkishindwa kuwacontrol mnavyotaka nyie basi wanaroho mbaya

too low!
 
Kama ulitendwa na mwanamke/binadamu ulistahili yote yaliyokupata na bado utapata tabu nyingi tu kutokana na fikra zako duni.
 
 
Baadhi Roho mbaya e.g blandina nyoni, bi kiroboto baadhi, roho safi
 
si ajabu huko unawaza kumchoma moto mtoto wa mmeo uliyemkuta ulipokuja kuolewa..yaani roho mbaya zenu basi tu,mungu ndiye aliyepanga tuishi na nyie.
Subconcoiuosly karibu kila mwanamke anwaza hivo
 
hapo nilpo bold naona ndipo kwenye tatizo,lazima wazinguane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…