Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,263
- 54,688
Gari zako, pesa umpe wewe, out umpeleke ww kwa gharama zako, alaf leo umechelewa ana kununia? Man yaan unamdekeza mno, sasa kama hivyo amenuna , jarib kumuuliza tatizo ni lipi, kama hatoonyesha ushirikiano kula bunda endelea na mambo yako kama vile umuoni.
Atajishtukia mwenyewe.
Ukiwadekeza sana huwa wanakera mno, wanaanza kukutesa kijinga.
Atajishtukia mwenyewe.
Ukiwadekeza sana huwa wanakera mno, wanaanza kukutesa kijinga.