Wanawake wana lawama za ajabu sana

Wanawake wana lawama za ajabu sana

Leo usiku mpige bao za kutosha kama nane hivi tayari ataacha kununa
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.

niajiri mimi nitakuwa ninamchukua nampeleka na kumrudisha mwanzo mgumu akinizoea hatakusumbua
 
Leo usiku mpige bao za kutosha kama nane hivi tayari ataacha kununa
Uwezo wa kufikisha nane upo hata yeye mpokeaji anauwezo huo dar wenyewe kutoka ofisini -nyumbani hoi kwa foleni unachoka kabla
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.
Na usikute kazini kakutambulisha kwa rafik zake kuwa ww ni dereva wake [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Siku atakapo anza kurejeshwa na njemba nyingine inapaki gari yake hapo Getini halafu wanastory kwa dakika kadhaa huku gari inaghuruma na vioo vimepandishwa full kipupwe usitujie hapa huku unalia lia kuwa mkeo amepata wa kumjali.

Watoto wa kiume siku hizi mna mambo ya ajabu sana halafu mnalalamika ati wanawake wamebadilika.....

Wewe ni ndio wale wanaume wasio na busara, huyo ni mkeo wewe.......unataka nani akamfuate amuendeshe na kumfikisha nyumbani salama salimini?!

Tena una bahati umepata mwanamke anayejitambua na anataka mume wake ndie uwajibike kupa protection. We unadhani mwanamke kuondoka na gari yake na wewe gari yako hapo mnajenga kitu gani kama sio utengano?!

Acha kiendekeza maisha ya kimagharibi, sisi ni waafrika na tutabakia na tamaduni zetu za kuwa kila kitu kwa wake zetu kureplace baba zao.

Kiukweli unatakiwa kusemwa sana....maana hadi hapo hauna busara kimsingi unashindwa kuelewa kuwa jukumu lako namba moja ni kumlinda kumtetea na kumkinga mkeo na hatari zozote za kimwili, kiakili, kimawazo na kiroho.

Mkeo akiwa na hofu wewe ndie wa kumtoa na kumfariji, anapokuwa ana wivu ni wewe wa kumtuliza na kumpa matumaini mapya na kujiamini, akiwa anatukanwa au kushambuliwa na mtu wewe ndie wa kumkinga na hiyo shambulio lolote, akiwa anakuamini kumuendesha na kumfikisha nyumbani salama ni jukumu lako la maisha yote hadi mnazeeka. Penda chako, thamini chako kabla hajaja mwingine kukipa thamani badala yako.

Kuna mwenzako namfahamu anafanya kazi bunju, lakini mkewe anafanya kazi bandalini kule, na anaamka asubuhi j3 hadi ijumaa anampeleka kwanza mkewe bandari then ndipo anaanza safari ya kwenda bunju na jioni anatoka anamfuata bandari kwanza then wanarejea home....

So usikae kudeka deka hapo kijinga! Hebu "MAN UP" and be a matured husband kwa mkeo ambaye ameonyesha wazi kuwa na mapenzi ya dhati kwako na kukuachia nafasi ya kutimiza majukumu yako ya asili ili uwe mume bora......

Be serious.....grow up....and take good care of your wife.....
 
Unamdekeza cumama..yo acha kumbeba beba, apande boda boda au bajaji hata daladala.... 😡
 
mtuzoee tu jamani, tusipowadekea mnataka tukamdekee nani?
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.
Poleee. Jaribu kuwa mwanaume mwenye msimamo na sio legelege. Play part yako vizur na mambo mengne wataenda poa..
 
Siku atakapo anza kurejeshwa na njemba nyingine inapaki gari yake hapo Getini halafu wanastory kwa dakika kadhaa huku gari inaghuruma na vioo vimepandishwa full kipupwe usitujie hapa huku unalia lia kuwa mkeo amepata wa kumjali.

Watoto wa kiume siku hizi mna mambo ya ajabu sana halafu mnalalamika ati wanawake wamebadilika.....

Wewe ni ndio wale wanaume wasio na busara, huyo ni mkeo wewe.......unataka nani akamfuate amuendeshe na kumfikisha nyumbani salama salimini?!

Tena una bahati umepata mwanamke anayejitambua na anataka mume wake ndie uwajibike kupa protection. We unadhani mwanamke kuondoka na gari yake na wewe gari yako hapo mnajenga kitu gani kama sio utengano?!

Acha kiendekeza maisha ya kimagharibi, sisi ni waafrika na tutabakia na tamaduni zetu za kuwa kila kitu kwa wake zetu kureplace baba zao.

Kiukweli unatakiwa kusemwa sana....maana hadi hapo hauna busara kimsingi unashindwa kuelewa kuwa jukumu lako namba moja ni kumlinda kumtetea na kumkinga mkeo na hatari zozote za kimwili, kiakili, kimawazo na kiroho.

Mkeo akiwa na hofu wewe ndie wa kumtoa na kumfariji, anapokuwa ana wivu ni wewe wa kumtuliza na kumpa matumaini mapya na kujiamini, akiwa anatukanwa au kushambuliwa na mtu wewe ndie wa kumkinga na hiyo shambulio lolote, akiwa anakuamini kumuendesha na kumfikisha nyumbani salama ni jukumu lako la maisha yote hadi mnazeeka. Penda chako, thamini chako kabla hajaja mwingine kukipa thamani badala yako.

Kuna mwenzako namfahamu anafanya kazi bunju, lakini mkewe anafanya kazi bandalini kule, na anaamka asubuhi j3 hadi ijumaa anampeleka kwanza mkewe bandari then ndipo anaanza safari ya kwenda bunju na jioni anatoka anamfuata bandari kwanza then wanarejea home....

So usikae kudeka deka hapo kijinga! Hebu "MAN UP" and be a matured husband kwa mkeo ambaye ameonyesha wazi kuwa na mapenzi ya dhati kwako na kukuachia nafasi ya kutimiza majukumu yako ya asili ili uwe mume bora......

Be serious.....grow up....and take good care of your wife.....
[emoji122][emoji122]
 
Mkeo yuko sahihi kabisa kwenye hilo, kuna faida zaidi kumpeleka mkeo kazini na kisha kumfuata jioni baada ya kazi
Kwanza ni dalili ya mahaba kwamba mnakuwa pamoja na mnaweza kuongea na kushirikishana mengi pamoja, pia ni usalama, kutoka kazini usiku kwa baadhi ya wanawake ni mtihani na upweke mkubwa sana

Kuwa na magari mawili sio issue hayo ni material tu mkeo anakuhitaji a wewe na uwepo wako kadiri inavyowezekana

Kama una tatizo la kumsubiria tafuta kitu cha kufanya wakati unamsubiri mkeo kipenzi, mfano jisomee kitabu au fanya/anzisha project itakayokufanya utumie muda wako vizuri wakati unamsubiria mkeo

Haipendezi nyote mtoke asubuhi kila mtu na gari lake hata kama uwezo upo
sometime mwanamke kuwa na kisirani ni ujumbe tosha kwamba kuna kitu kinaendelea ambacho hafurahishwi na nacho

Ukilazimisha itakula kwako, gari mwenyewe aidha kuna kidume kitakuwa kinapewa lift au kidume kitakuwa wake in exchange with mahaba ya mkeo

Huyu ni mkeo mpe/mfanyie yale ayapendayo, afterall ni haki yake

Ushauri mzuri. Sometimes wanawake wanahitaji attention tu. Material things hazina nguvu kama attention atakayompa.
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.

Kununa tu Ndio kosa hapo ila swala la kumpeleka na kumchukua ukiliona kama ni kazi au adhabu litakukwaza ila ukilifanya as something to show love basi wote mtalifurahia. Hapo unakua siku nzima unasubiri kwa hamu muda wa kutoka ufike umfuate mkeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom