Wanawake wana lawama za ajabu sana

Wanawake wana lawama za ajabu sana

Mkeo yuko sahihi kabisa kwenye hilo, kuna faida zaidi kumpeleka mkeo kazini na kisha kumfuata jioni baada ya kazi
Kwanza ni dalili ya mahaba kwamba mnakuwa pamoja na mnaweza kuongea na kushirikishana mengi pamoja, pia ni usalama, kutoka kazini usiku kwa baadhi ya wanawake ni mtihani na upweke mkubwa sana

Kuwa na magari mawili sio issue hayo ni material tu mkeo anakuhitaji a wewe na uwepo wako kadiri inavyowezekana

Kama una tatizo la kumsubiria tafuta kitu cha kufanya wakati unamsubiri mkeo kipenzi, mfano jisomee kitabu au fanya/anzisha project itakayokufanya utumie muda wako vizuri wakati unamsubiria mkeo

Haipendezi nyote mtoke asubuhi kila mtu na gari lake hata kama uwezo upo
sometime mwanamke kuwa na kisirani ni ujumbe tosha kwamba kuna kitu kinaendelea ambacho hafurahishwi na nacho

Ukilazimisha itakula kwako, gari mwenyewe aidha kuna kidume kitakuwa kinapewa lift au kidume kitakuwa wake in exchange with mahaba ya mkeo

Huyu ni mkeo mpe/mfanyie yale ayapendayo, afterall ni haki yake
 
nanukuu ......hivi wewe mwanaume inaonekana ulipata evolution kutoka kwa mende kwa sababu mwanaume hauwezi kua na akili mpakato kiasi hiki empty set kabisa.......mwisho wa kunukuu...ahsante
 
Umeona ee yeye anakimbilia nina gari 2 kila mtu awe na lake sasa piga pic yeye anawahi kutoka kazini nyumbani anawahi nini ikiwa ubavu haujarudi nyumbani na huchelewa kutoka, ngoja awe pekeyake apate mashost wakitoka huko na safari nyingine ndiyo atakumbuka, hajui kama ni mahaba labda anamzuia asiende kwa michepuko yake.
 
Swala la magari mawili hayahusiki isitoshe humfahamu cha msingi jadili hoja iliyowekwa jukwaani sioni sababu ya watu kujianzishia uzi ndani ya uzi.
 
Hili lihaya hili...
Wanapenda sifa hao.
Kuna mmoja tuna sali nae sku moja alikuwa anahubiri akasema mpaka namaliza chuo alikuwa na mil 10 aisee nlicheka sn sn...wakati mpaka sasa hana hata bodaboda na anafanya kazi.
Mtu kazaliwa 1985 bado ana mawazo ya kimapokeo!!pole sn
 
Huna kosa Mkuu. Kuna gari mbili home achukue moja. Hajui kuendesha weka mkazo ili ajue kuendesha hataki kuendesha basi achukue taxi au boda boda.

Sioni sababu ya kukunuia kwa kweli. Wengine wale watoa vichapo angeshatoa kichapo cha uhakika.

Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.
 
nanukuu ......hivi wewe mwanaume inaonekana ulipata evolution kutoka kwa mende kwa sababu mwanaume hauwezi kua na akili mpakato kiasi hiki empty set kabisa.......mwisho wa kunukuu...ahsante
Hahaha dah wabongo tuna safari ndefu...
 
Ifike mahali tuache kuchukulia kuwa ni big deal mtu anaposema ana miliki gari ama nyumba.

So what if they really own it?

Let as look at the point they are trying to put forward, offer advice or walk away if we can't.

Tusiwashambulie wenzetu over what they have. Let's take it as a challenge itupe moyo na sisi tutafute vya kwetu.

Pia ifike mahali tukubali kwamba binaadamu hatufanani just like the fingers on our hands. Sio ki tabia si uwezo.

Mfano, naweza kuwa sina hata baskeli... lakini nilikimbilia kujenga. Naweza kuwa sina gari baskeli wala kibanda but faraja yangu ipo katika familia yangu. Watoto wangu wanakula wakitakacho na wanalala pazuri...

Zote hizi ni baraka na ni aina tofauti za furaha kwa wamiliki. Tusiwe na chuki kwa wenzetu ambao tunahisi wametuzidi kitu in one way or the other.

Lets be kind to each other, Positive vibes whenever we can.
Bibi hebu calm down kwanza huu ni mtandao huru ambao kila mtu anajiskia kupost upuuzi wake kadri anavyoona usimpangie mtu sababu humuwekei bundle,sio lazma kila mtu awe ma busara kama wewe ukiwa nazo kwa wajukuu zako inatosha!
Ifike mahali ifike mahali kwani tunaenda wapi,ikifika mahali we shuka!
 
What exactly is your point?

Tuanzie hapo.
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.

Mapenzi ni kitu kingine eti anakupenda
 
Sasa mkuu mbona hizo ndo “viza” zenyewe? Matipo entri… zitumie vizuri mkuu…
 
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.

Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.

Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.

Nawe nae zero tu hivi umeshindwa kujiongeza mpaka uje kulia huku kwa hili dogo tuu kweli dar wanaume mmeisha
 
Maisha ya kwenye bongo movie hayo. Be a real man mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom