Natamani niendelee na masomo lakini naona mipango imegonga ukuta, msaada wakuu

SAMBALI

Member
Jan 26, 2017
9
0
Wakuu salaam.
bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada.
Mimi ni kijana wa kiume ninaumri wa miaka 24 sasa
Nimwanachuo NIT nachukua bachelor degree in information technology mwaka wa kwanza.

Shida kubwa inayonisumbua ni ada na pesa ya matumizi kwani nilikosa mkopo awamu ya kwanza na sasa nimekosa tena baada ya kuapeal.

Sina wakunilipia ada coz aliekua akinisaidia ni mama yangu ambae tangu mwaka jana ni mgonjwa anasumbuliwa na moyo kutanuka, kisukari pia uti wa mgongo.

Naombeni msaada jaman wa mawazo nifanye nini ili niendelee na masomo maana naumia nikiacha kwa sasa kwan sitaweza kumsaidia hata mama yangu maana elimu niliyo nayo haita nifikisha popote.

Napenda kutoa wito kwa yeyote mwenye roho ya iman juu ya tatzo langu anifadhili wngalau hata kama atanipatia kazi ya kufanya yoyote kwa kipindi ambacho nitakuwa chuo kwan naweza kuomba nikawa nasoma jioni.

Pia mungu kanijaalia kipaji cha kuigiza, kuimba, kutunga hadithi, tamthiliya na mashairi lakin cjaweza kupata oppoturnity ya kukitumia maana nilikua kila nikijaribu najikuta nashindwa coz mkono unakuwa mfupi kuwafikia wahusika ndipo nikaamua kutulia na vipaji vyangu but sitaki kufa navyo.

Serious wakuu ndugu yenu nina shida kbaya zaid naumia ninapo angalia wenzangu wenye sifa kama sangu wanatesa na bumu kama kawa akat mm nadunduliza pesa kutoka kwa ndugu.

PLEASE WWKUU NAHITAJI SANA NSAADA WENU MAANA NINAHALI MBAYA MWENZENU.

Nawasilisha kwenu Ahsanteni.
 
daaa nasoma kwa masikitiko sana hii thread, pole sana ndugu yangu nami ni firxt year kama ww.
 
Never give up, nenda kwenye jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko, kisha ueleze matatizo yako na uombe msaada, fasta utachangiwa, lakini humu kwenye jukwaa la elimu hawapiti watu wengi
 
Pole sana .nenda mashrika kama gepf nssf wanatoa mikopo kwa wanafunzi ila uwe unamzamini wa mwanachama wa hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii .apply ukifikia vigezo watakulipia miaka yote ilio baki ila ukimaliza riba inakuwa Mara mbili ya heslb
 
Pole sana .nenda mashrika kama gepf nssf wanatoa mikopo kwa wanafunzi ila uwe unamzamini wa mwanachama wa hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii .apply ukifikia vigezo watakulipia miaka yote ilio baki ila ukimaliza riba inakuwa Mara mbili ya heslb
Ahsante kwa ushauri mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom