Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Kweli inatakiwa babu Asprin amsaidie Bishanga jamani!
Umeona eeh.....wao ni wanaume bwana! Lol
Kweli inatakiwa babu Asprin amsaidie Bishanga jamani!
Ndio tunamuomba babu amf....................................!!!!!!!tobaaaaa! Mbona huyo ni Bishanga jamani khaaa!
Anatia huruma hivyo alivyonyoosha mikono juu lol. Chezeiya kongosho weye..Ndio tunamuomba babu amf....................................!!!!!!!
Anatia huruma hivyo alivyonyoosha mikono juu lol. Chezeiya kongosho weye..
😂Mzembe amezoea kukopa akafikiri vikojoleo navyo vinakopwa. Acha azibuliwe, kama hana hela mamaa amlipizie hata kwa gunzi. Unafikiri kuchokonolewa na mshobobo kazi ndogo eh?