Smile huyu Kaizer asikutishe, kwa wanawake life begins at 50:
Life begins at 50! Older women have better sex, more exercise and feel happier than twenty-somethings, survey reveals | Mail Online
Wakiwahi sana basi wataanza kwenye 40s:
Women in 40s have better sex lives - Times Of India
Kaizer nafikiri hoja yako imekaa kiume zaidi. Kweli wanaweza kuwa na hayo yote uliyoyataja, but the crux of the matter is are they the happiest women kulinganisha na makundi mengine?
I think the happier a woman is, the more she will enjoy sex and vice versa. Happiness ndiyo mpango mzima. Na hiyo happiness haipatikani kwenye mapenzi tuu.
Anaweza kuwa na miaka 18 tuu lakini akawa na great sex kama yuko happy. Hata kama ana miaka 18 tuu provided that you give her what she wants sexually, sidhani kama ataku-nag. Why?
Sababu ambayo imenifanya niseme hoja yako imekaa kiume zaidi ni kwamba, baadhi ya wanaume wanaitumia kama excuse hasa kwa kushidwa kuwafikisha kunako wale walio under 30.
Women under 30 wana kiu ya mapenzi vile vile. They want to have great sex kama wanawake wengine. Tena they want it it even more than those in above 30. Under 30s can have it for hours.
Tatizo linakuja, they don't know how to get it. Matokeo yake wanawategemea wanaume wawape great sex they crave for. But there is a problem. Wanaume wenyewe nao hatujui what to do kuwafikisha huko wanakotaka kufika. Wengine labda tunaweza lakini hatuwezi mbio za marathon.
Lakini wanawake walio kwenye 30s and above, siyo tuu wanataka great sex, but they also know how to get it. Hata kama wakikutana na mwanaume ambaye hajui kumpa great sex, she will teach him how to do that.
It is all about happiness. I think wanawake walio kwenye 30s bado wana insecurities kama walio kwenye 20s. Wengi hawako confident na jinsi miili yao inavyoonekana. Tofautisha na wengi walio kwenye 40s and 50s who will probably have their pre-baby figures back!
Ukilinganisha na wale walio kwenye 40s na 50s, wanawake walio kwenye 30 wako kwenye "mummy stage". Kutokana na wengi kulea watoto hawana uhuru wa kutoka na ku-relax kama wale walio above 40 or under 30.
Kisayansi wanadai kuwa hormones za mwanamke huwa zina-shift na kuongeza libido na hamu ya kufanya mapenzi kuanzia miaka 40 kwenda juu.
Self-esteem after 40 ni kubwa zaidi kulinganisha na walio kwenye 30s kwenda chini. Huu ndiyo muda ambao wanawake wengi wanaanza tena kuonyesha their "bad girl" image walioyokuwa nayo in their teens.
Mwisho, but muhimu, exit strategy ya wanawake walio above 40 siyo kuvunja ndoa, bali ni ku-cheat. Ni rahisi kwao kuwa na affair kulinganisha na wale walio kwenye 30s kurudi nyuma.
Nilisoma mahali kuwa women above 40 enjoy and have more sex but not with their husbands, though kuna wengine kama
Smile wanadai bado ni mabikira