Wanawake walioko kwenye 30s

hiv nikikupa 100% ntakuwa nimekupendelea au nayo itapunguzwa kama walivopunguziwa shule za seminari!

mwalimu snowhite, unadhani walio under age wanaweza kuwa na mawazo mazito kama haya? IT TAKES A MAN TO CONSTRUCT A HOUSE BUT IT NEEDS A WOMAN TO MAKE A HOME!
 
Last edited by a moderator:
Swadata, umejua lini habari hii?
Ungekuwa karibu ningekupa zawadi maana umeHIT mule mule.

Asante madameA ni kupitia uzoefu kama nilivyosema...kuishi kwingi kuona mengi,,,, zawadi niPM ila isiwe mambo ya vocha na nauli si umeona mambo yake?
 
Last edited by a moderator:

tena akiwa nyumba ndogo,, hakuna stress kabisa,,,, hakikisha anapokuhitaji unapatikana on the spot,, kwake kikubwa ni asante my d.....ila wako makini na kila kitu wanachokifanya...
 
tunafaidi sana sisi wa 30's wengi wetu tunatulia na wenza wetu na kwa asilimia kubwa for the rest of our life tunafia kwenye LIBOLO hili hilo limoja hatutafuti nyingine kama uko stress free zone .

Nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni ME au KE, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

umesema vizuri sana!
 
nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni me au ke, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!
bestiiiii ukome kunifuatilia ee we mpare wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…