Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Yani wana hasira haooo. Na ukitaka kuwaudhi wewe usinune, cheka tu. Manake ukinuna roho zao zinapata amaniTena unaona mtu anaongea kwa mihemkooo, unajua tu huyu kapigwa kibuti either na 30's au single mom, nachekaga.