Wanawake walioko kwenye 30s


20's Unaingia naye chumbani hamjakaa vizuri; mara anaparamia dude na kuanza kulibugia .... Mwanamke kuandaliwa sio yeye kukurupuka kuchezea dude la kidume.
 
Kuna watoto wapo 20's wana all of the above sijui hawa ni exceptions?
 
Ndo umegundua leo mdogo wangu Kaizer?

Ndiyo maana nilishasema kuwa,.. if I were to redo it...not to a girl or anyone who has not passed 3.5 decades...hata kwa kupewa kisiwa kama Zanzibar...

Utu uzima dawa....


Babu DC!!

ehehhehhheheh babu nimekumiso ujue!
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

Pia hawana expectation kubwa kwani wanaangalia reality
 
duh..apa kuna ukweli ndani yake..ila unaweza ukawa 20's na ukawa umetulia vilevile. Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi habarini za weekend?


Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.



Hapo tegemea kupigiwa simu saa 8 usiku, kuombwa pesa ya saloon, kuomba muda wa maongezi lakini simu hupigiwi anaishia kukudiip tu.
 


kwa kweli am 40's na naenjoy kunako sita kwa sita kwa sana kuliko nilivyokuwa 20's! ni sababu unakuwa umetulia, huna mawazo kuwa utabata mimba uzizotarajia n.k !
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.


Haswaa.... ndivyo tulivyo, hatuna usumbufu siye lol!
 
na wao walipitia huku 20's ko nasi tukikua tutakuwa na character hizo hapo juu..

jaman ila mi nilikuwa nahis naenjoy sex ile mbaya kumbe kuna miaka nikifika ntafurahia
zaidi.I cant wait for my 30's

Kama ulikua akilini kwangu..
Na kwa hii post nadhani kuna wengine tunaishi maisha ya being 30's ngoja tuanze kuishi kama 20's
 
20's Unaingia naye chumbani hamjakaa vizuri; mara anaparamia dude na kuanza kulibugia .... Mwanamke kuandaliwa sio yeye kukurupuka kuchezea dude la kidume.

hahahaaa.... Ulikutana na wa 19- wewe... Lol!
 
Hii thread watu wanafunguka tu umri wao (na hili ndio kusudio la ankal wangu@kaizer....... Msijiulize kwanini!! Lol).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…